Fahamu sifa za mwanaume asiye na pesa

N mtazamo2 mkuu...haijadhibitika
 
Mbona kama sifa zote anazo mzee wako hizi...Hebu pambana umuondolee hizo aibu mkuu.
 
Mkuu mangi hakua mshabiki yy alikua mwekezaji tuu...elewa hilo
Alikuwa mshabiki ndio akawa mwekezaji kabisa.
Kwa maneno yake alitamka kuwa yeye ni mshabiki na mpenz mkubwa wa yanga hvyo atawekeza Yanga
 
Kama Rostam Aziz ni masikini kwa mujibu wa vigezo vyako mimi ni nani hata kikombe chako kiniepuke
 
Mkuu unafaa kuwa comedian, nimecheka coz am a Yanga fan, hayo mengine ni kama uonevu kidogo.... kwa maoni yangu, not good stereotyping people though..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…