Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Nonsense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N mtazamo2 mkuu...haijadhibitika1. Viatu huisha upande mmoja
2. Kushabikia YANGA
3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.
5. Kufungua soda kwa meno
6. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
7. Anapenda sana kuangalia movie zilizotafsiriwa
8. Kufuta jasho kwa vidole
9. Kupiga miayo hadi machozi yanamtoka.
10. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
11. Kumchukia kila mwanamke anayemiliki gari
12.Kumiliki smartphone iliyopasuka kioo.
13.Akitengewa chakula lazima amalizie kunywa mpaka na mchuzi kwenye kibakuli.
14.Kila mwanamke anayemchangamkia kwake anajua ashapata zari la kupendwa.
15.Wanapenda sana kutafuna vitumbua asubuhi asubuhi bila chai.
16.Akiingia kuoga bafuni, anahakikisha anasugua mpaka ndala akiamini usafi huficha umasikini.
17.Akipanda dala dala lazima ashike nauli mkononi ili isije kudondoka.
18.Wanapendaga sana kukaa siti za dirishani kwenye safari yoyote.
19.Ukiangalia mashati yake mengi utakuta kola za mashati zimeanza kuchanika.
Ukiangalia sababu alizozitoa, zinatokana na stress apatazo mwanaume na kufikia kuonesha dalili hizo.
Wanawake wengi ni tegemezi, hawana stress sana.
Kumiliki smart ilopasuka kioo ni uongo sio dalili ya asiye na hela.
Kushabikia yang ndio uongo kabisaa maana hata manji billionaire alikua mshabiki wa Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama sifa zote anazo mzee wako hizi...Hebu pambana umuondolee hizo aibu mkuu.
Alikuwa mshabiki ndio akawa mwekezaji kabisa.Mkuu mangi hakua mshabiki yy alikua mwekezaji tuu...elewa hilo
Kama Rostam Aziz ni masikini kwa mujibu wa vigezo vyako mimi ni nani hata kikombe chako kiniepuke1. Viatu huisha upande mmoja
2. Kushabikia YANGA
3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.
5. Kufungua soda kwa meno
6. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
7. Anapenda sana kuangalia movie zilizotafsiriwa
8. Kufuta jasho kwa vidole
9. Kupiga miayo hadi machozi yanamtoka.
10. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
11. Kumchukia kila mwanamke anayemiliki gari
12.Kumiliki smartphone iliyopasuka kioo.
13.Akitengewa chakula lazima amalizie kunywa mpaka na mchuzi kwenye kibakuli.
14.Kila mwanamke anayemchangamkia kwake anajua ashapata zari la kupendwa.
15.Wanapenda sana kutafuna vitumbua asubuhi asubuhi bila chai.
16.Akiingia kuoga bafuni, anahakikisha anasugua mpaka ndala akiamini usafi huficha umasikini.
17.Akipanda dala dala lazima ashike nauli mkononi ili isije kudondoka.
18.Wanapendaga sana kukaa siti za dirishani kwenye safari yoyote.
19.Ukiangalia mashati yake mengi utakuta kola za mashati zimeanza kuchanika.
Mkuu unafaa kuwa comedian, nimecheka coz am a Yanga fan, hayo mengine ni kama uonevu kidogo.... kwa maoni yangu, not good stereotyping people though..........1. Viatu huisha upande mmoja
2. Kushabikia YANGA
3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.
5. Kufungua soda kwa meno
6. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
7. Anapenda sana kuangalia movie zilizotafsiriwa
8. Kufuta jasho kwa vidole
9. Kupiga miayo hadi machozi yanamtoka.
10. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
11. Kumchukia kila mwanamke anayemiliki gari
12.Kumiliki smartphone iliyopasuka kioo.
13.Akitengewa chakula lazima amalizie kunywa mpaka na mchuzi kwenye kibakuli.
14.Kila mwanamke anayemchangamkia kwake anajua ashapata zari la kupendwa.
15.Wanapenda sana kutafuna vitumbua asubuhi asubuhi bila chai.
16.Akiingia kuoga bafuni, anahakikisha anasugua mpaka ndala akiamini usafi huficha umasikini.
17.Akipanda dala dala lazima ashike nauli mkononi ili isije kudondoka.
18.Wanapendaga sana kukaa siti za dirishani kwenye safari yoyote.
19.Ukiangalia mashati yake mengi utakuta kola za mashati zimeanza kuchanika.
Naunga mkono kipengele hicho namba mbili Shadeeya
Halafu no. 4 rangi za kung'aa kamaanisha yellow na ile nyingine ile hebu nikumbusheHahahaaa. Nlijua tu.
😀😀😀 Jamaani!Halafu no. 4 rangi za kung'aa kamaanisha yellow na ile nyingine ile hebu nikumbushe