King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kuna jamaa mmoja humu yuko addicted sana kule,tena anachangia mada kwelikweli
waturudishie JAMBO FORUMS ambayo watu walikuwa wanakata isshuz na sio huu upuuzi tuliobaki nao
Udaku Specially Imefanikiwa Kupata Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi nilivyokuwa nahamu ya kuwaoana, Jamii forums ni mtandao ambao watu huingia na kujadili mambo mbali mbali kama Siasa, Udaku , Biashara n.k
Hongera zao
Wapi billionaire le mutuz,ha1 u know,hahah#team le mburulaz
Hivi ukipiga picha na mabilionea na wewe unakuwa Bilionear