Fahamu sura za waanzilishi wa Jamiiforums

Fahamu sura za waanzilishi wa Jamiiforums

waturudishie JAMBO FORUMS ambayo watu walikuwa wanakata isshuz na sio huu upuuzi tuliobaki nao
 
waturudishie JAMBO FORUMS ambayo watu walikuwa wanakata isshuz na sio huu upuuzi tuliobaki nao

Usiogope mabadiliko bali Pambana na mabadiliko!
Unafikiri Jambo forums ilikuwa na idadi ya wanachama kama ilivyo sasa?Ni kweli kulikuwa hakuna upuuzi na wapuuzi?

Mambo yana badilika na mafanikio pengine ni makubwa kuzidi kipindi cha Jambo forums!
Bila shaka mabadiliko kutoka Jambo forums kwenda Jamiiforums yameendana na kuongezeka wanachama na kuongezeka upuuzi na wapuuzi maana kwenye jamii tuliyo nayo ni jambo la kushangaza kutegemea mabadiliko chanya pekee!
 
hivi huyo mwenye miwani ni mtoto wa william yule anayejiita "bill thinker" au!?
 
Nime-miss enzi zile ambazo nili-specialize kwenye mambo ya totoz ndani ya Jambo Forums!
 
samahanni sana nisije kupigwa tu ban kwa kuwasema wakuu wetu
KUSEMA LA UKWELI jamani huyo wa mwanzo ndo yeye au macho yangu au amebadilika hivyo kwa jili ya mawazo....
samahani niliyewai kumuona alikuwa angalau kidogo au hiyo midevu?....nimeogopa!!
 
hamna kitu

mabishoo tuu hawa. wamekakaa kisharobaroo tuu

JF asili watu wanapiga mzigo juani sio kukaa kula keki kwenye ea kondisheni
 

Udaku Specially Imefanikiwa Kupata Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi nilivyokuwa nahamu ya kuwaoana, Jamii forums ni mtandao ambao watu huingia na kujadili mambo mbali mbali kama Siasa, Udaku , Biashara n.k
Hongera zao



Wapi billionaire le mutuz,ha1 u know,hahah#team le mburulaz
 
Back
Top Bottom