CAMPUS MAGAZINE
Member
- Sep 26, 2016
- 5
- 2
Habari zenu tena wadau wetu wa GREDO MEDIA Tanzania,
GREDO MEDIA Tanzania ni mmiliki na muandaaji wa Campus Magazine. Jarida jipya na la kisasa linalotarajiwa kuanza kutoka kila mwezi hivi karibuni. Jarida litakalokupa muongozo sahihi wa nini unastahili kufanya na kwa kufuata hatua zipi katika mambo mbali mbali kama msomi.
Utaweza kulipata jarida hili kwa njia mbali mbali, ikiwa ni pamoja na kutumiwa kwenye email yako, kupakua kwenye tovuti yetu (download), kuletewa ulipo au kusoma kupitia tovuti yetu moja kwa moja BURE.
Nafahamu kuna kundi kubwa sana la watu wanahitaji kuanzisha MAJARIDA tofauti tofauti. Lakini sababu mojawapo inayowakwamisha ni "UKOSEFU WA TAARIFA SAHIHI" wa jinsi gani wataanzisha JARIDA.
Leo nimeamua kuchukua nafasi hii kujadili na wewe machache kuhusu uanzishaji wa JARIDA na Taratibu zake hapa nchini Tanzania.
Wengi tunaamini MTAJI wa fedha ndiyo kitu cha kwanza katika kufanya au kuanzisha Biashara yoyote. SIYO KWELI, na wengi wenye mtazamo huu wamefeli kwenye mambo mengi sana. Sikatai kuwa FEDHA ni kitu muhimu sana kwenye kuanzisha Biashara yoyote ile, lakini si kitu cha kwanza kuwanacho unapotaka kuanzisha Biashara. Jambo muhimu na la kwanza unapotaka kuanzisha Biashara yoyote ile ni WAZO BORA. Ukiwa na wazo bora unaweza kufanya chochote kile Duniani na kikawa na mafanikio makubwa sana.
Kabla hujafikiria kuanzisha JARIDA lolote lile, fikiri kwa kina kuhusu yafuatayo:-
Ndugu mdau wetu wa nguvu, usikose muendelezo wa mada hii muhimu. Kama utakuwa na maswali, maoni, au ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia mawasiliano yetu hapo chini.
GREDO MEDIA TANZANIA
Igesa Road - Sinza DSM
Mob: +255 713 741 758
Email: corneliousbk@gmail.com

- JARIDA lako litahusu nini.
- Ni nani atakuwa msomaji wa JARIDA lako.
- JARIDA lako litakuwa na upekee upi ukilinganisha na MAJARIDA mengine yanayofanana na hilo unalotaka kulianzisha.
- JARIDA lako litamfikiaje msomaji lengwa.
- Kama JARIDA litakuwa linauzwa, fikiri kwa kina kuhusu njia za mauzo ya JARIDA lako.
- Tafuta watu sahihi uwashirikishe kuhusu wazo lako na ujumbe mahsusi wa JARIDA ili wakushauri panapostahili.
- Je, JARIDA lako ni endelevu, la msimu au linalotoka mara moja tu.