Fahamu tekinologia za engine kuongeza output na ulaji wa mafuta

KndNo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
627
Reaction score
2,049
Fahamu tekinologia za engine kuongeza output na ulaji wa mafuta..
Honda wana Vtec
Toyota wana Vvti
BMW wana Vanos

Zinafanya kazi kwa kucheza na Camshaft..
Nini zinafanya.

Kukamikisha cycle moja ya engine kuna air intake na air exhaust.

Hii kwenye engine inafanyika na valves.. Unakuta gari imeandikwa 16v 24v 32v hizo ni namba za valves kwenye engine.

Kila cylinder ina intake na exhaust valve.. Inaweza kuwa moja au zaidi ya moja.

Movement ya valves inakuwa controlled na Camshaft.

Ukiwa kwenye rpms ndogo unahitaji torque zaidi na ukiwa kwenye rpms kubwa unahitaji horsepower zaidi.

Hizo technology zinacontrol movement ya Camshaft kulingana na rpms zako.

Kuna wakati zinaruhusu intake valve ifunguke muda mrefu hewa nyingi iingie na kuna wakati zinaruhusu kwa muda mchache..!

Mfano Toyota 1G output yake 133hp(one G kavu) bila vvti na 158hp ikiwa na vvti..!
Technology ni nzuri ila inakuja na maintanace zaidi..!
 
Ni Tech ambayo ipo kwenye Almost kila kampuni ya magari kwa sasa. Sema tu wanatofautiana majina.

Mfano

Subaru wanaita AVCS/AVLS

Nissan wanaita CVTCS/n-VCT

Wakati engine inazunguka speed ya camshaft inaweza kuwa controlled independently mathalani camshaft inayocontrol intake valves.... Ndio maana camshaft zake huu upande unaozungushwa huwa unakuwa umetuna kiasi fulani...

Oil huwa inazunguka mle ili kucontrol speed ya camshaft....
 
Nakubaliana na wewe kabisaa.,.hii technology imesambaa sana...
 
MIVEC nayo same principle.. Change cam profile kutokana na rpms ili kutoa torque au hp kulingana na matumizi..!
 
Uzi makini huu shukran mkuu kwa Elimu hii adhimu siye twajuwa kuendesha tu.
 
Back
Top Bottom