KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Fahamu tekinologia za engine kuongeza output na ulaji wa mafuta..
Honda wana Vtec
Toyota wana Vvti
BMW wana Vanos
Zinafanya kazi kwa kucheza na Camshaft..
Nini zinafanya.
Kukamikisha cycle moja ya engine kuna air intake na air exhaust.
Hii kwenye engine inafanyika na valves.. Unakuta gari imeandikwa 16v 24v 32v hizo ni namba za valves kwenye engine.
Kila cylinder ina intake na exhaust valve.. Inaweza kuwa moja au zaidi ya moja.
Movement ya valves inakuwa controlled na Camshaft.
Ukiwa kwenye rpms ndogo unahitaji torque zaidi na ukiwa kwenye rpms kubwa unahitaji horsepower zaidi.
Hizo technology zinacontrol movement ya Camshaft kulingana na rpms zako.
Kuna wakati zinaruhusu intake valve ifunguke muda mrefu hewa nyingi iingie na kuna wakati zinaruhusu kwa muda mchache..!
Mfano Toyota 1G output yake 133hp(one G kavu) bila vvti na 158hp ikiwa na vvti..!
Technology ni nzuri ila inakuja na maintanace zaidi..!