JOEkizyi New Member Joined Sep 11, 2022 Posts 3 Reaction score 33 Sep 23, 2022 #1 JE,unajua kuwa tiba pekee ya kuacha punyeto ni ulaji wa vitungu saumu na maji. Matokeo yake ni pamoja na kuratibu ubong hasa homoni ya testeron iliyo kiwango cha juu has wanaongalia picha za x na kujichua pia maji hufanya njia ya mkojo isiwe kavu.
JE,unajua kuwa tiba pekee ya kuacha punyeto ni ulaji wa vitungu saumu na maji. Matokeo yake ni pamoja na kuratibu ubong hasa homoni ya testeron iliyo kiwango cha juu has wanaongalia picha za x na kujichua pia maji hufanya njia ya mkojo isiwe kavu.
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Sep 23, 2022 #2 Sungura mwizi said: shda so muandish mie mkuu naandika kile nimefikisha ujumbe tu. Click to expand... Sungura sio mwizi bwana, matumizi yake??
Sungura mwizi said: shda so muandish mie mkuu naandika kile nimefikisha ujumbe tu. Click to expand... Sungura sio mwizi bwana, matumizi yake??
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Sep 23, 2022 #3 Kaka umegusa career za watu. Kwahyo vitunguu na maji vinaua Hy tabia. Ngoja waje Mageneralš
Chura JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,385 Reaction score 2,402 Sep 23, 2022 #4 Hatimae nimefikiwa
Jambo Kubwa Senior Member Joined Jan 21, 2017 Posts 156 Reaction score 224 Sep 23, 2022 #5 Vikiwa vimepikwa au vibichi? Matumizi yake je?