tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
1. Noti ya tsh10,000 ina urefu wa cm 15 na upana 7.5cm noti za deni hili zikiwa katika mtindo wa elfu kumi na zikiungwa ncha kwa ncha zitakuwa na urefu wa kilometa 216,000km ambapo ni umbali wa kutoka tanzania mpaka new york marekani mara 17.
2. Na kama hizo noti za elfu kumi kumi zitashonwa katika mtindo wa turubai basi 1% ya jiji la daresalam litawezwa kufunikwa kabisa na wasilione jua