Fahamu ukubwa na taswira la deni la taifa

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
ImageUploadedByJamiiForums1411981398.478469.jpg 14,4000,000,000 hii inasomeka kama trilion 14.4 hii ni namba ya kiasi sha fedha kinachodaiwa na taasisi,na nchi mbalimbali kwa serikali ya tanzania,na kama ikigawanywa kwa idadi ya watanzania kwa mujibu wa takwimu za sensa kila mtanzania anadaiwa tsh 335,000 ,Na hizi ndio taswila ya ukubwa wa deni letu la taifa kama wengi upenda kuita

1. Noti ya tsh10,000 ina urefu wa cm 15 na upana 7.5cm noti za deni hili zikiwa katika mtindo wa elfu kumi na zikiungwa ncha kwa ncha zitakuwa na urefu wa kilometa 216,000km ambapo ni umbali wa kutoka tanzania mpaka new york marekani mara 17.

2. Na kama hizo noti za elfu kumi kumi zitashonwa katika mtindo wa turubai basi 1% ya jiji la daresalam litawezwa kufunikwa kabisa na wasilione jua
 
mkuu..kwa data nilizonazo mwaka jana mwishoni ilikuwa ni trillion 27.1
 
View attachment 189074 14,4000,000,000 hii inasomeka kama trilion 14.4 hii ni namba ya kiasi sha fedha kinachodaiwa na taasisi,na nchi mbalimbali kwa serikali ya tanzania,na kama ikigawanywa kwa idadi ya watanzania kwa mujibu wa takwimu za sensa kila mtanzania anadaiwa tsh 335,000 ,Na hizi ndio taswila ya ukubwa wa deni letu la taifa kama wengi upenda kuita

1. Noti ya tsh10,000 ina urefu wa cm 15 na upana 7.5cm noti za deni hili zikiwa katika mtindo wa elfu kumi na zikiungwa ncha kwa ncha zitakuwa na urefu wa kilometa 216,000km ambapo ni umbali wa kutoka tanzania mpaka new york marekani mara 17.

2. Na kama hizo noti za elfu kumi kumi zitashonwa katika mtindo wa turubai basi 1% ya jiji la daresalam litawezwa kufunikwa kabisa na wasilione jua

Sio lelemama na bado gharama za uchaguzi mkuu deni litaongezeka maradufu. Na madeni haya kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na mikataba ya siri. Tunapiga kelele wee lakini hakuna anayesikiliza. For sure Tanzania ni nchi ya amani.
 
Hata value ambayo Facebook wanalipa kununua whatsapp inazidi deni letu la taifa..
Hahaha! situation kama hizi bora mtu ujifiche chini ya uvungu..
 
Mkuu kwa hzo data za 14tr ni mwaka juz bt kwa sasa deni ni ~30tr. Means kila mtu anadaiwa karibu lak 7, kwa kweli deni limekua kwa kasi ya ajabu.
Tunataka maendeleo bt sio kwa kukopa too much, tusimamie na mapata ya ndani, kwa mfano huduma kama za mpesa, tigo pesa nazo zimekua kwa kasi nadhani hata serikal ingesimamia vizur hapo tu wangepata pesa kuliko hata hyo sigara na pombe.
Kwa mfano pia barabara kama ya morogoro inajengwa kwa mkopo toka nje na wakandaras wetu still wameweka barabara chache ambazo baada ya muda kidogo tu zinajaa magar yan wameweka plan ya 2-3 years, ni kuchezea kodi na kuongeza deni la taifa bure
 
View attachment 189074 14,4000,000,000 hii inasomeka kama trilion 14.4 hii ni namba ya kiasi sha fedha kinachodaiwa na taasisi,na nchi mbalimbali kwa serikali ya tanzania,na kama ikigawanywa kwa idadi ya watanzania kwa mujibu wa takwimu za sensa kila mtanzania anadaiwa tsh 335,000 ,Na hizi ndio taswila ya ukubwa wa deni letu la taifa kama wengi upenda kuita

1. Noti ya tsh10,000 ina urefu wa cm 15 na upana 7.5cm noti za deni hili zikiwa katika mtindo wa elfu kumi na zikiungwa ncha kwa ncha zitakuwa na urefu wa kilometa 216,000km ambapo ni umbali wa kutoka tanzania mpaka new york marekani mara 17.

2. Na kama hizo noti za elfu kumi kumi zitashonwa katika mtindo wa turubai basi 1% ya jiji la daresalam litawezwa kufunikwa kabisa na wasilione jua

Kwa iyo unatuambia tufanyaje?
 
Kwa iyo unatuambia tufanyaje?
hii tunajaribu tu kupeana taswira maana ni wengi nadhani hata wewe ukimwambia deni la taifa kubwa hana cha kustuka ila ukimpa picha mihela iyo ilivyo anastuka
 
Msiogope hakuna nchi isiyodaiwa ata U.S.A kitu kibaya ni kushindwa kukopesheka.

Tuna rasilimali nyingi sana tungekua na akili sisi ndio tungekopesha badala ya kukopa lakin sisi wengi wetu wehu hasa wale waliomadarakani.

Wanaotukopesha wanajua tusipowalipa watachukua vitu kama gass, dhahabu,tanzanite, makaa ya mawe, ardhi na ata almasi kufidia deni lao.
 
Mkuu, hiyo paragraph ya mwisho ndiyo inayotisha. Raslimali zikiisha tutapelekwa utumwani vizazi na vizazi hadi madeni yaishe.
 
Sasa ivi bado sisi ni watumwa hatuwezi kuepuka utumwa.

Akili ndio Mali sio vitu
Kupewa vitu bila akili ni buree.
 
yaani ni kweli mkuu

Ujue ukiwa na akili ni raisi kupata mali , angalia nchi kama Singapore na south Korea ukiambiwa tulikua sawa mwaka 1961 utakubali.

Tumeamua kuishi kimbumbumbu na akitokea MTU mwenye akili ya kutaka kubadilisha uelekeo WA maisha yetu atauawa kwa gharama yoyote.
 
kweli kabisa mkuu
 
View attachment 189074 14,4000,000,000 hii inasomeka kama trilion 14.4 hii ni namba ya kiasi sha fedha kinachodaiwa na taasisi,na nchi mbalimbali kwa serikali ya tanzania,na kama ikigawanywa kwa idadi ya watanzania kwa mujibu wa takwimu za sensa kila mtanzania anadaiwa tsh 335,000 ,Na hizi ndio taswila ya ukubwa wa deni letu la taifa kama wengi upenda kuita

1. Noti ya tsh10,000 ina urefu wa cm 15 na upana 7.5cm noti za deni hili zikiwa katika mtindo wa elfu kumi na zikiungwa ncha kwa ncha zitakuwa na urefu wa kilometa 216,000km ambapo ni umbali wa kutoka tanzania mpaka new york marekani mara 17.

2. Na kama hizo noti za elfu kumi kumi zitashonwa katika mtindo wa turubai basi 1% ya jiji la daresalam litawezwa kufunikwa kabisa na wasilione jua

Rais wenu yuko buze anazurura wala hajali ndo kwanza anaendelea kufuja pesa
 
Back
Top Bottom