Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Mimi kweny Jupiter nna miaka 0.82 kweny Pluto ndo nmeshangaa ..eti your next birthday ni 2184 year, 08 August[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah...Yaani Jupita ninakuwa na miaka 9.7ya kijupita....anyway miaka ya mtu ni vile alivyofanya...kuna watu wana miaka 100 duniani lakini bado vijana..na wako wenye 21 lakini wamekwishazeeka [emoji1787]
Mimi kweny Jupiter nna miaka 0.82 kweny Pluto ndo nmeshangaa ..eti your next birthday ni 2184 year, 08 August[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app