Fahamu umri wako katika sayari zingine

Fahamu umri wako katika sayari zingine

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
Wengine hawapendi kuzeeka na Wengine hawapendi kuambiwa wadogo.
Fahamu umri wako katika sayari zingine kwa kupitia link hii







Screenshot_20191231-003440.jpeg
IMG_20191231_003908_848.jpeg
IMG_20191231_003928_896.jpeg
Screenshot_20191231-003531.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20191231-003531.jpeg
    Screenshot_20191231-003531.jpeg
    40.5 KB · Views: 1
  • IMG_20191231_003928_896.JPG
    IMG_20191231_003928_896.JPG
    24.2 KB · Views: 1
  • IMG_20191231_003928_896.JPG
    IMG_20191231_003928_896.JPG
    24.2 KB · Views: 1
Dah...Yaani Jupita ninakuwa na miaka 9.7ya kijupita....anyway miaka ya mtu ni vile alivyofanya...kuna watu wana miaka 100 duniani lakini bado vijana..na wako wenye 21 lakini wamekwishazeeka 🤣
 
Dah...Yaani Jupita ninakuwa na miaka 9.7ya kijupita....anyway miaka ya mtu ni vile alivyofanya...kuna watu wana miaka 100 duniani lakini bado vijana..na wako wenye 21 lakini wamekwishazeeka [emoji1787]
Mimi kweny Jupiter nna miaka 0.82 kweny Pluto ndo nmeshangaa ..eti your next birthday ni 2184 year, 08 August[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmegundua kwamba kwa kadri unavyokwenda mbali na jua na umri wako ndio unavyozid kuwa mdogo...

So simply Jua linazeesha stay away from the Sun!!
 
Back
Top Bottom