Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Wanaweza tumia imei ya simu ya kitochi kwenye techo P1 smartphone kwa kutumia software tu, tena haya masimu mengine huna hata haja ya software ni code fulani ukiweka inakupa option ya editing.NI sawa, sikatai ila walichofanya ni kwamba wamekubadilishia chip wakakuwekea chip yenye IMEI namba nyingine, hujabadilisha IMEI. IMEI ni copyright ya manufacturer. Still, hata yeye akitaka kuibadilisha, habadilishi namba anabadilisha chip. Mimi naamini kuwa IMEI hata manufacturer hawezi kuibadilisha, japo sina uhakika sana