Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

Me sijaelewa hili somo wakuu hebu n'dadavulieni kdg..biashara za ma'risk me ndo zangu..ongezeni nyama kdg...
 
Wadau mwenye ujuz na mambo ya forex trading nahitaj msaada kidogo tafadhali 0787999851
 
Hii biashara inahitaji nidhamu ya hali ya juu. Lakini mleta Uzi ungetolea mfano mtu mwenye capital mf; 500,000/= tsh. Akaingia duka la fedha na kununua dola kwa bei mfano 2019. Akaenda na dola zake nyumbani, kesho akapata taarifa dola zinauzwa kwa 2030 akaenda kuuza na kupata faida ya Tsh. 11 per dolar. Je, nimekuelewa? Pili, kwa nini nikae na hela muda mrefu kwa nini nisinunue dola asubuhi nikauza jioni kama nitapata faida? Thirdly, hii biashara unalipaje kodi???
 
Mwenye uelewa wa hii biashara naomba mnijuze jinsi ya kufanya, naona vijana wa South Africa wanakuwa ma billionaires kutokana na biashara hii ya Forex Trading
 
@Sr.Magdalena jukwa hili hapa soma ufaidike
@Devion Delmonte Jr. njoo tena kwa ufafauzi zaidi maana nyakati zimebadilika kwaio na uchumi lazima viende tofauti kwaio njoo kwenye jukwaa letu pendwa
 
Back
Top Bottom