Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

VIPI KAMA UMEHIFADHI MIDOLLAR YAKO USA WAKAAMUA KUPRINT DOLA MPYA
 
Biashara ngumu sana ile kama una mtaji Mdogo sana,ili upate faida lazima mtaji wako usipungue m 150 kwa dar mipakani unaweza ukacheza na hata million 10 ukaokoteza ukapa faida lakini kiukwel kwa sasa ni biashara ngumu sana wageni hakuna
 
Vijana wenye mtaji mje huku. Tuachane na vyeti vya jamaa. Kama kutumbuliwa atatumbuliwa tu muda ukifika.

Mje tujiongezee kipato
 
Mm naona biashara hii inafaa kwa mtu mwenye execess money ambayo badala angeweka kwenye fixed acc aitupie tu apo within tym anajikuta pazur zaid.
 
Akssnteni Ontario kwa kusambaza somo hili, lkn nimeelewa zaidi hapa kuliko kule kwako.

kama una mtaji safi, bora kununua dhahabu tu, naona hazina magumsshi. ni +tu
 
Akssnteni Ontario kwa kusambaza somo hili, lkn nimeelewa zaidi hapa kuliko kule kwako.

kama una mtaji safi, bora kununua dhahabu tu, naona hazina magumsshi. ni +tu
Ukiwa na mtaji nunua dhahabu, lkn kama ni mchuuzi, ya forex ni nzuri zaidi, kwa kuwa unanunua na kuuza on dairy basis
 
Hivi kuna akaunt ya dhahabu pekee? Inafunguliwaje?
 
hui biashara risk yake ni kubwa sana... ila kama unataka bora ukaingia ktk hedging japo faida yake sio kubwa ila ni almost risk free kuliko kuingia katika speculation kwenye faida kubwa ikiambatana na hasara ya kuua mtu kwa plesha....
Nina uhakika zaidi ya asilimia 90 haujawahi kutrade, ama ulitrade wakati ni newbie ama infant trader. Dunia ya leo unapotezaje pesa, risk management zilivyowazi kabisa. Dunia imerahisishwa kiasi kwamba unapata taarifa zote sawa na mtu aliyepo wall street, investing.com anakuupdate kila kitu, unagonga SL na kila kitu utapotezaje pesa zote.

Sikatai kama hakuna loss, but tunazongumzia ratio ya loss against profits, kama unalose 20% ya trades zako na unawin 80% shida iko wapi.?

Alafu 1 ya mbinu mabenki hutumia kikatisha watu tamaa ni hii ya kuwaambia kuwa utaunguza mtaji wako wote, vitisho vya ajabu mara utasikia lazima uwe na mil 100, nani kasema? Watu wanaingia forex na $100 na wanakuza account hadi kufikia somewhere.
 
Mkuu naomba kujua ni broker gan unatumia boss
 
Noted
 
Wewe ndio umeielezea kisomi kuliko zaidi Asante
 
Mkuu naomba kufahamu broker unayotumia
 
Zipo za Halali na Fake. Tunaomba somo la kuzitambua
Hawks put end to R100m pyramid scheme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…