Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

Kuna mwenzako nae kaandika uzi kama huu lakini yeye anawavuta watu wajiunge na biashara hii kupitia kwake...Sijajua wewe una malengo gani?
Ukinijibu hili ntarudi kuuliza swali lingine.
 
Mpaka leo umekosa mtaji?
Nadhani kuna kutokuelewana hapa mkuu...nimeuliza swali jespesi sana na kama unamajibu ungeyatoa tu kuliko kuniuliza tena swali.
Wewe kuna uzi umeufungua unahusu habari ya biashara hii na umeweka bayana kwamba unataka kusaidia watu wafanye hii biashara na ofisi ameshapata bado makaratasi tu na kadha wa kadha ukidhamiria wajiunge kupitia kwako.
Sasa swali langu ni huyu mleta uzi, je ana Nia
gani ya kuleta uzi huu?
 

Wapi nimesema nataka kusaidia watu? Wapi nimesema nimefungua ofisi? Naomba niletee huo uzi hapa..
 
mkuu nimekuelewa sana naendelea kujifunza zaidi kuhusu Forex trading hii naona ni fulsa sahihi niliyokuwa naisubilia.
 
Hawa madalali wanapatikana apa kwa Tanzania au?
 
Nimekusoma kwa makini mno kwa jinsi navyofikiri thamani ya dollar hupanda kwa kiwango kidogo sana haiwezi kukufikisha kule unakotaka labda euro au yewen jee unanishauri nianze na mtaji wa shilling ngapi hapo mkuu
 
Kumbe nilikuwa napatia na forex yangu ya kilokoloko
 
Elimu nzuri ngoja niendelee kujifunza hata mwaka kwanza ndio nijaribu hii kitu aisee
 
Forex ina risk kubwa lakini ukishakuwa smart and good trader faida itaonekana.. anaeislam forex kwamba ni high risk ujue kweli hajawahi ku trade
 
Yani bureau de change nyingne bei zinatofautiana yani leo nimeenda kubadili rand 3400,unakuta huyu anachange kwa 170,mwngne kwa 180,lakini fresh tu .tutapata hiyo hiyo faida..(3400x180=612000)....N.B nimenunua toka mwezi wa 3.ikiwa tsh 150
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…