Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

Ndugu hiyo namba nne, ulifanyiwa utapeli na commercial bank? Ilikuwaje hii ? Tupe uzoefu wako tafadhali
 
Je unaweza kuchukua mkopo bank ya biashara na ukawekeza kwenye treasury bill au bond ikakulipa na kuridisha mkopo bila wasi wasi wowote mkuu?
 
Lovely
 
Unaweza kama una dhamana zinazoweza kuwekwa kama mshahara, shamba, kiwanja au kazi au bihashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hamjaelewana...kama treasury bond inatoa 10% faida kwa mwaka, huwezi kukopa na upate faida kulipa mkopo kupitia hiyo faida.
Je unaweza kuchukua mkopo bank ya biashara na ukawekeza kwenye treasury bill au bond ikakulipa na kuridisha mkopo bila wasi wasi wowote mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Mimi naomba muongozo, hasa, nikiwa mwenyewe (individually), nianzie wapi ili niweze kununua hizo treasury bills, mathalani nikiwa mbali na matawi ya bank kuu bila kushirikisha commercial banks?
 
Dah...nilitaka kutoa like ya pili.

Mkuu umewekeza wewe as an individual au? If yes, how did you start? Procedures?
 
kwa hii govt inayolia kila siku haina hela, hatutazinguana mbeleni? mf pension funds, kandarasi, wazabuni, local bank nk
Unaweza kutia mzigo, bwana meko akaamua kukaa na kijana wake wa kigogo wakaunda kitu cha kuwanyofoa katika mfumo wa kulipwa mpaka baada ya miaka 5 kisha ukabakia na simanzi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…