Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

Ila serikali ya sasahivi inaweza 😂 wazee wa kikokotoo
 
Kuna jamaa anawekeza huko...
Na anasema hana wasi na ada za watoto wake...maana wanasoma shule zenye ada ndefu...
yeye ni mwoga na hana muda wa kufanya biashara
Hii ni nzuri kweli kama una pesa nzuri unainjoy! Ukiwa na 1B basi unaweza ishi kama malaika tu hapa nchini. Chukulia gawio la 100M tu kila mwaka kwanini usiishi ki boss!
 
[emoji769]✓Kwa nchi zetu bado sana kwy kusimamia shughuli za kiuchumi, bado Mambo mengi yanaenda kisiasa zaidi
 

Msaada wa kuelewa hii picha
 
Je unaweza kuchukua mkopo bank ya biashara na ukawekeza kwenye treasury bill au bond ikakulipa na kuridisha mkopo bila wasi wasi wowote mkuu?
Boss commercial rate ni more than 15% na bills/bond at most you can make 10%..unachotaka kufanya doesnt make any sense
 
Acha kuwapa kichwa bot , eti wako makini! We mtumishi wa BOT? mgiriki alidefault, Argentina na nchi nyingi tu ambazo uchumi wao ulikuwa imara kushinda Tanzania zilichemka.

tdot
Nowsasa, haya mataifa yalichemka kitu gani utupe darasa chief

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Umeongelea sana Treasury Bills,naomba maelezo kuhusu Treasury Bonds.
 
Umeongelea sana Treasury Bills,naomba maelezo kuhusu Treasury Bonds.
N a wewe si uingie youtube tuu ujifunze kama uko serious au google hizo info zipo in details , kwa kukusaidia zote ni sawa tofauti yake ipo kwenye muda wa maturity, treasury bills ni ya muda mfupi( year or less) na treasury bonds ni ya muda mrefu ( mpaka miaka 30)
 
Nimechagua kujifunzia JF
 
Kipindi kile wanatuokota kwenye matangazo redioni et oooo unanunua hisa alafu na wewe unakuwa mmiliki wa voda unapiga tu miluzi ukiangalia wafanyakazi wako wanavyoingia kzn asubui.
 
Naomba kujua capital adequacy ya brokers na dealers wa DSE na sheria/kanuni gani zimeprovide the same.
 
Nataman ningempata mtu kma ulivyompata ww nataman kujua zaidi
 
Kufanya biashaea na serikali ni risk sana
 
Mkuu tupe mrejesho plse!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…