Fahamu utajiri wa Elon Musk

Fahamu utajiri wa Elon Musk

otimbiotimbi

Senior Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
132
Reaction score
230
Kwa mujibu wa jarida la Forbes Elon Musk ndiyo tajiri namba moja duniani, akiwa na utajiri wa Trilioni 627

Kwa mchanganuo wa utajiri wake, akisema kila siku atumie Bilioni 2 na milioni 600. Basi fahamu itachukua miaka 610 kuishiwa yaani kuwa kabwela.

NB: Mchanganuo huo ni kwa shilingi ya Tanzania
 
Ila bado anapambana
 
Uhai wa mtu hautokani na vingi alivyonavyo?

😁😁vyote ni ubatili mtupu sawa na kufukuza upepo
Screenshot_20240712-210943_Instagram Lite.jpg
 
Hapo ni sawa na kila siku atumie B10.4 za kitanzania kwa miaka 150...watu wana noti aiseee
 
Back
Top Bottom