otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 230
Ila bado anapambanaKwa mujibu wa jarida la Forbes Elon Musk ndiyo tajiri namba moja duniani, akiwa na utajiri wa Trilioni 627
Kwa mchanganuo wa utajiri wake, akisema kila siku atumie Bilioni 2 na milioni 600. Basi fahamu itachukua miaka 610 kuishiwa yaani kuwa kabwela.
NB: Mchanganuo huo ni kwa shilingi ya Tanzania
............wakati Unashindana na watu wasiolalaendelea kulala