Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

Hio ni gharama ya ekar 1.ila uzuri wake una uhakika wa kila msimu kama shamba utalihudumia vizuri ikawa ni kitega uchumi cha kutosha kabisa.vijana tuwekeze pia ktk kilimo.kilimo kinalipa hususani hilo zao la parachichi
Kweli kabisa.
 
Ndugu wanajamii habari ni,
Naomba mwenye uelewa wowote juu ya kilimo, biashara ( soko) ya parachichi anielekeze hapa
 
Kununua Shamba 150,000/=
Kusafisha Shamba 40,000/=
Miche 3,000x70= 210,000/=
Kupanda 2,000x70=140,000/=
Mbolea = 150,000/=

TOTAL KWA HEKA 690,000/=
Hii sio kweli, gharama za kutunza shamba mbona hujaweka? Nijuavyo parachichi linahitaji mbolea at least Mara mbili kwa mwaka, madawa ya ukungu wadudu etc. Pia zao linaitaji kumwagilia hawa kipindi cha kiangazi, kupalilia kama utataka.matokeo chanya.
 
Habari janvini
Kama Bado hujasajiri kampuni.
Karibu ntakusajiria kwa chapu. Bei nzuri kabisa.
Pia huduma ya
- kuandaa mahesabu ya kodi
-mchanganuo wa Biashara
- kusaidia kupata leseni ya biashara
Ushauri bure
Karibuni nyote
View attachment 1596079
 
Hiyo laki na nusu ni ya kununua shamba moja kwa moja?

Kagera parachichi inakubali? Inatofautianaje na ya njombe?
Kagera mapalachichi yanakubali. Home Ni karibu na Rubale tumeyapanda.
 
Inatakiwa uwe na kiasi gani Cha pesa,kwa ajiri ya kutunza mpaka mavuno ya hekari moja ya parachichi?
 
haya mambo ni kama ufugaji wa kware na sungura.....aliyetangulia ndio anatafuta soko la kuwaingiza na kuwa dalali...aikwambie mtu parachichi soko ni gumu waulize watu wa rombo na pale mwika alafu nenda kagera pale bukoba wanayatupa kwa kukosa soko gunia ni tsh 25k..hayo ya kuexport kuna vigezo vya kutosha ..mfano tu china wanataka frozen..yaaani uligandishe....ni uwekezaji mkubwa ambao wengi wetu tutashindwa..ila waweke wazi kuuza kitu nje hasa ulaya ni kazi..
 
Nipo interested na hii kitu naomba mawasiliano yako nikutafute binafsi!!
 
Pale mkundi Morogoro nna viekari vyangu.vyangu.

Ngoja niweke miche ya Matunda

Baada ya miaka mitano mbele
Mitano tena
Miaka mitano

Tuseme Isha Allah
 
Mkuu unaweza kutoa elimu ya matumizi ya mbolea.

Mi niko karibia na njombe na kutumia samadi nimeshindwa aisee.
Samadi ni bei na kupatikana kwake mtihani.

NAHITAJI ELIMU NA RATIBA YA KUWEKA MBOLEA ZA DUKANI...

#YNWA
 
mkuu nimepiga 0763119916 sasa hivi inasema huduma katika namba hii imezuiliwa kwa muda...nakupataje?
 
Kwa Hiyo mtu akilima Songwe, Rukwa au Mbeya lazima alete njombe? Kwa nini usitaje makampuni yanayonunua mikoa mingine Kama lengo ni kuwasaidia watanzania?
Hizo parachichi zikitoa maua Kuna dawa yoyote kuzuia yasipukutike?
 
Unawekeza 1.5M unakuja kupata 42M within 3yrs au sio?
Hahaaa Naipenda Tanzania kupata na kupatwa ni chaguo lako mwenyewe
 
Ahsante kwa taarifa mkuu. Tutakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…