Fahamu utaratibu na gharama za kubadili jina la mmiliki wa kadi ya gari ni kiasi gani TRA?

swamila

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
176
Reaction score
81
Msaada bei ya kubadili kadi ya gari ununuapo kwa mtu ni kiasi gani kubadili TRA?

MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
---
---
 
Hivi nawezaje kujua kuwa gari yenye namba flani imesajiliwa kwa jina flani?
 
msaada bei ya kubadili kadi ya gari ununuapo kwa mtu ni kiasi gani kubadili TRA?
msaada bei ya kubadili kadi ya gari ununuapo kwa mtu ni kiasi gani kubadili TRA?
Motor vehicle transfer tax
Motor vehicle transfer tax is payable when a vehicle changes ownership from one person to another. Tax on transfer is payable by the transferee and Stamp Duty on the sale of asset is paid by the seller. The taxes are paid through the bank.

Transfer fees
Motor vehicle TSHS 50,000

Motor cycle TSHS 27,000

New registration card on transfer TSHS 10,000

Stamp Duty 1%

Hapo ni endapo gari hiyo au chombo hicho hakina deni lolote linalo daiwa.
 
Kuna ndugu kafafanua vizuri,kifupi gharama halisi ni
sh.50,000
Plus sh.10,000 gharama ya kureprint kadi mpya,
Jumlisha 1% stamp duty ambayo hiyo Wana calculate kutoka katika thamani ya mauziano ya gari husika. Mfano mkiuziana gari kwa sh.10,000,000 basi TRA utaenda kulipa sh 160,000
 
Stamp duty nasikia imefutwa. Juzi kuna jamaa katoka kufanya transfer ya kadi ya trekta kalipia 60,000 tu.
 
Stamp duty nasikia imefutwa. Juzi kuna jamaa katoka kufanya transfer ya kadi ya trekta kalipia 60,000 tu.
Labda umesikia kutoka TRA office [emoji539] au kwa mshikaji.
Kwa iyo asilimia 1% aipo tena
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri.
 
Stamp duty nasikia imefutwa. Juzi kuna jamaa katoka kufanya transfer ya kadi ya trekta kalipia 60,000 tu.
Mkuu hata mimi kama wiki 2 nimetoka fanya change ya ownership ila gari hii ilikuwa ni mpya niliagiza kwa jina langu ila nilipanga liwe LA mzazi jamaa alinipunguzia kiaina kwakuwa niliambatanisha vielelezo vya kifamilia passport ya mzazi na birth certifacate yangu nikamwambia officer hapa hamna mauziano so sijajua kama kweli imefutwa au LA ila as per TRA website 1% bado ipo

 
Pia kumbuka kuna penalt kama umepitisha mwezi mmoja tangu mauziano bila kubadili umiliki.
 
mwezi uliopita nimetoka kufanya transfer ya noah nilinunuaa kwa 8.5 milion ila barua ya mauziano tukaandika 5 milion na gari mara ya kwanza ilikuwa private na mm nikabadili kutoka private kuja cormecial na pia kubadili jina wakanifamyia jumla tsh 140000,
 
uwe na
TIN number
uwe na nmmkataba wa mauziano ambao umepitia kwa wanasheriaa, na uwe na copy ya kitambulisho ya mtu aliyekuuziaa gari na copy ya kitambulisho chako
Copy ya kitambulisho cha aliyekuuzia gari ikikosekana,hawabadili kadi?Nina vyote hivyo,isipokuwa copy ya kitambulisho cha aliyeuza gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…