Kuna mama wa pale TRA tazara alikuwa anataka hadi passport size picha ya muuzaji na mnunuaji, sijui hii imekaajeCopy ya kitambulisho cha aliyekuuzia gari ikikosekana,hawabadili kadi?Nina vyote hivyo,isipokuwa copy ya kitambulisho cha aliyeuza gari
Itz 50000 thousand tshs....
Samahani, huuu utaratibu Bado mpaka sasa, kuwa na kopi ya kitambulisho wa aliyekuuzia chombo cha motoCopy ya kitambulisho cha aliyekuuzia gari ikikosekana,hawabadili kadi?Nina vyote hivyo,isipokuwa copy ya kitambulisho cha aliyeuza gari
Kula tano Bi Dada KkimondoaMotor vehicle transfer tax
Motor vehicle transfer tax is payable when a vehicle changes ownership from one person to another. Tax on transfer is payable by the transferee and Stamp Duty on the sale of asset is paid by the seller. The taxes are paid through the bank...
Sikujibiwa hilo swali,na mimi sijabadili bado kadi.naendelea kutumia na jina la aliyeniuziaSamahani, huuu utaratibu Bado mpaka sasa, kuwa na kopi ya kitambulisho wa aliyekuuzia chombo cha moto
Mkuu ahsante sana. Umefafanua vizuri sana. Kwa hali ya sasa,suala la kununua Double Used Japanese Car ni tangible. Naposema Double Used naamanisha lilikua used Japan,likauzwa na sasa unamvua Mtanzania.Document wanazohitaji ni
1. Mkataba wa kuuzina chombo cha moto
2. Nakala ya kitambulisho cha mpiga kura/Leseni ya udereva/Pasi ya kusafiria au kitambulisho cha Taifa. Nakala hiyo iwe imeambatishwa na pasipoti ndogo na kuwa certified na Wakili...
Je kama chombo kinadaiwa nafanyajeMkuu ahsante sana. Umefafanua vizuri sana. Kwa hali ya sasa,suala la kununua Double Used Japanese Car ni tangible. Naposema Double Used naamanisha lilikua used Japan,likauzwa na sasa unamvua Mtanzania.
Tunapitia sana njia hiyo kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru wana jf kwa darasa zuri nimeelimika vyakutoshaDocument wanazohitaji ni
1. Mkataba wa kuuzina chombo cha moto
2. Nakala ya kitambulisho cha mpiga kura/Leseni ya udereva/Pasi ya kusafiria au kitambulisho cha Taifa. Nakala hiyo iwe imeambatishwa na pasipoti ndogo na kuwa certified na Wakili. Hii inahusu pande zote mbili (Mnunuzi na Mnunuaji)...
Hii ni kweli au?Pia kumbuka kuna penalt kama umepitisha mwezi mmoja tangu mauziano bila kubadili umiliki.
Document ipi zaidi ya kadi ya gariInatakiwa uwe na documents zp unapokwenda kubadili jina la mmiliki
Hii haileti shida eti?Sikujibiwa hilo swali,na mimi sijabadili bado kadi.naendelea kutumia na jina la aliyeniuzia
Sijapata shida yoyote since 2017 naitumia..sioni njia ya kuifanya nibadili kadi kwa kukosa hivo viambatanishi.Hii haileti shida eti?
Ok okSijapata shida yoyote since 2017 naitumia..sioni njia ya kuifanya nibadili kadi kwa kukosa hivo viambatanishi.
Naitumia hii gari nikiichoka naichinja..
Kuichinja si bora ukanipatia tu mkubwa!Sijapata shida yoyote since 2017 naitumia..sioni njia ya kuifanya nibadili kadi kwa kukosa hivo viambatanishi.
Naitumia hii gari nikiichoka naichinja..
Hivi polisi wanapokakaguaga gari wakaangalia hadi hadi kadi huwa hawalingainishi majina yaliyopo kwenye kadi na kwenye leseni? Nini hasa lengo lao la kuomba kadi?Sijapata shida yoyote since 2017 naitumia..sioni njia ya kuifanya nibadili kadi kwa kukosa hivo viambatanishi.
Naitumia hii gari nikiichoka naichinja..
Wanakagua uhalali wa kadi nafikiri,majina yakipishana si tatizo,kwamaana unaweza kuwa dereva umeajiriwa,au umeazima gari kusafiriaHivi polisi wanapokakaguaga gari wakaangalia hadi hadi kadi huwa hawalingainishi majina yaliyopo kwenye kadi na kwenye leseni? Nini hasa lengo lao la kuomba kadi?