Hapo unaweza mpa shida aliekuuzia.. ikifanya uhalifu hiyo gari.. ndo utajua umuhimu wa kubadili kadi.. na nina uhakika aliekuuzia angejua shida ya kumuacha mtu atumie gari kwa jina lako angekulazimisha muibadili..
maana mpaka polis waelewe kuwa alishaizua niaka saba iliopita shughul anayo
kuna jamaa yangu mdogo wake kaka mwaka jela
kimasikhara sababu aliuza baloon aliemuuzia akafanya tax bubu.. dereva aliempa akaikodisha kwa wazee wa kaz.. wakapiga kaz ikabuma wakakimbia ila gari namba ilishashikwa akaja kudakwa yeye sababu bado kadi inasoma jina lake.. had anatoka jela mwaka na miez kadhaa
USIKUBAL KUUZA CHOMBO CHA MOTO BILA KUBADILI JINA.. kama ww unauza chukua effort za kuhakikisha mnabadili..