Fahamu utofauti wa Asset na Liability

Na wewe unachanganya liability na EXPENSES.
Umenifurahisha sana brother! Ila ni kwambie kitu kimoja expenses na liabilities ni ndugu, mfano:Ukichukua mkopo bank ni liability,unaporejesha inabidi uongezee na interest ambayo ni expense. Mf2:Bili ya maji ya Mwezi huu ni expense, ila Mwezi ujao Kama hatujailipia Itakuwa ni current liability. Namna ya kuzitofautisha inahtj utaalam kidogo.
 
kasomo nimekapanda na ukweli ni kwamba kamenitouch....nimejifunza kitu pia......na nimegundua kwamba unaweza kuconvert any liability into asset....na ukiwa mjinga zaidi utajikuta unaibadili asset kuwa liability bila mwenyewe kujua au kwa maksudi.......m
 
nyie ndo mnazingua....kwani yeye kasema analeta maswala ya taaluma hapa....yeye hapa kaja kutuelewesha in a simple way sisi tusio na taaluma hyo tuelewe maana ya hayo maneno.........ndo mana definition zake zipo simple and clear.

Sasa wewe ndo umeanza hadi maplus mara ma minus sjui ya nini.......nayaelewa vp mtu kama mimi wa std seven......

Na umekili kabisa yupo sahihi bt sio definion za kitaaluma bt he is right at some point.....so what!!???
 
Mkuu wewe huna tofauti nami.
Na ndo maana hawa hawa wasomi wa uchumi na fedha wa Tz wengi ndo wanaishi maisha ya chini kuliko wasio soma mambo ya fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…