Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

SAE- society of automotive engineers, huwa inaonekana mara nyingi katika madumu ya mafuta ya brake au oil, utakuta wameandika sae 40. Hii ni grade ya oil kulingana na ulaini wake kulingana joto la ingine yaani grade ya oil inategemea hali ya joto na ubaridi katika kufanya kazi.
 
ASCE- American Society of Civil Engineering
AMDG-Ad Maiorem Dei Glorium (For the Greater Glory of God)
 
P.O.W = Prisoner of war.
K.I.A = killed in action
E.T.A = estimated time of arrival
 
Back
Top Bottom