Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Kwa dsm - malamba mawili kwa nyumba ya vyombaa vitatu kama iyo uloelezea apo juu itaweza kugharimu bei gan ..eneo la tambalare
 
Umetaja mambo yanayotofautisha gharama za ujenzi miongoni mwao ikiwa ni aina ya udongo lakini hujafafanua chochote kuhusu hilo.

Ni aina gani ya udongo ni gharama nafuu kujenga na upi ni changamoto, na ni kwa nini?
 
Kichanga ni Udongo mzuri kwakua hauna tabia ya kupasuka na kutitia.

Mfinyanzi pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…