Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #561
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panga mawe then funika na nailoni (DPM) then mwaga zegeKabla ya kuweka zege kama maandalizi ya sakafu unashauri nini kianze?
Nature ya ardhi inakama tindiga fulan hivi msimu wa mvua ni tope.
Je ninaweza kuweka Moram then ni top up na zege au nipange mawe then ni top up na zege?
Asante.
Baada ya mawe aweke mchanga kwa sm 5 ndio aweke dpmPanga mawe then funika na nailoni (DPM) then mwaga zege
Ulichosema ni kwa maeneo yasiokuwa na udongo kichanga. Na kama mfinyanzi mkali, basi itakulazimu uweke vyote mchanga na zegeYaah n kwel kabisa, hapo kwenye kumwaga zege chini wakat wa kuanza msingi huwa mafund wengi wamekariri tu ila ukwel ni,kuwa kutanguliza mchanga angalau inch 3 hv ni bora zaid kulko hyo zege.
Mafundi wanaongezaga garama tu il wanufaike, ila profeessionally hamna mantik yoyote
Ahsante Sana Kwa Elimu
Hapa nitaelezea Sababu za msingi zinazosababisha majengo yanayofanana kujengwa kwa gharama tofauti.
Tuzungumzie mchoro wa nyumba ya vyumba vitatu vya Kulala kimoja kati ya hivyo ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen ,public toilet na store.
Mchoro aliununua ndugu anaitwa Juma, baada ya Juma kununua Alitoa copy akawapa majirani zake wawili Hasani na John.
Hawa wote walijengewa na fundi mmoja ambae ni mimi. Lkn Kila mtu kutumia gharama tofauti kusimamisha boma.
SABABU ZA MSINGI ZA KUFANYA GHARAMA ZA UJENZI ZITOFAUTIANE
1. Location
2. Uimara
3. Land type. (slop au tambalale)
4. Soil type
5. Nyakati.
HAPA NITAZUNGUMZIA UIMARA
Msingi wa nyumba imara utajengwa Kama ifuatavyo.
. Utachimbwa kwenda chini urefu WA mita moja au zaidi.
. Utaanza na zege yenye ratio nzuri kabla ya kujenga tofali
.Utajengwa kwa tofali imara
.Utawekewa Beam yenye kusukwa nondo na ratio nzuri
.Utamwagiliwa maji ya kutosha.
ILI HAYA YOTE YAFANYIKE LAZIMA UMPATE FUNDI MZURI.
Juma aliomba nyumba yake nimjengee kwa viwango hivyo, ndio maana nilitumia tofali nyingi,cement nyingi, nondo nyingi, mchanga mwingi, kokoto nyingi, ring za kutosha, maji mengi nk. Ktk kujenga msingi.
John alisema uwezo wake mdogo , yeye alihitaji tuchimbe futi moja kwenda chini baada ya hapo tujenge tofali, hakuishia hapo pia alisema tusiweke Beam.
Kilichotekea ni utofauti wa Tshs zaidi ya million nne kati ya hiyo misingi miwili.
Kiufupi Juma alitumia 6mil
John Tshs 2.8mil
Hasani Tshs 4mil.
Kilichotofautisha ni uimara WA kujenga msingi. Hawa wote ni majirani.
Mpaka tunamaliza boma Juma alitumia 18m
John 7m
Hasani 12m.
Nyumba zote hizi zikipigwa rangi vizuri hutoweza kujua madhaifu ya awali mpaka pale utakapoanza kuona nyufa (expansion joint)
Hoja yangu hapa ni kwamba unapotokea mjadala wa gharama za ujenzi LAZIMA tuzingatie vitu mhimu vinavyosababisha gharama kuwa kubwa au ndogo.
Ushauri
1. Tusipende kukimbilia kununua nyumba wakati hujui ilijengwa kwa viwango vipi.
2. Jenga nyumba imara ogopa vya Bei cheee
3. Nyumba kuijenga si lelemama, ili kumudu anza mdogomdogo. Ukiwa na 5m anza hata msingi.
UPDATES
tuendelee na mjadala wetu. Hapo awali tulijadili jinsi namna gani uimara wa nyumba unavyoathiri gharama za ujenzi. Leo tujadili namna location inavyoathiri gharama za ujenzi.
NAMNA LOCATION INAVYOSABABISHA GHARAMA ZA UJENZI KUWA TOFAUTI
Mungu aliumba ardhi ktk mionekano tofauti. Kuna tambalale, milima na mabonde.
Ujenzi ktk Eneo tambalale unagharama nafuu kulinganisha na Eneo lenye slope . Lakini pia ujenzi wa Eneo tambalale lililoko Chanika mkoni DSM Unaweza kuwa na gharama tofauti na ujenzi wa Eneo tambalale lililoko msasani mkoani DSM. Hivyo hivyo ujenzi wa DSM unagharama kubwa kuliko ujenzi wa Mbeya.
SABABU ZA KUTOFAUTISHA GHARAMA KATI YA ENEO TAMBALALE NA LENYE SLOP
Sanasana hapa kimbembe huwa ktk kujenga msingi wa nyumba.
Msingi uliotumia tofali 1500 katika eneo tambalale, msingi huohuo ukitaka kuujenga ktk eneo lenye slope unaweza kutumia tofali 2300 au zaidi kulingana na ukali wa slope.
Tukumbuke kwamba Kwa kadri tofali zinavyoongezeka ndivyo na material mengine yanavyozidi kuongezeka kitu ambacho hupelekea kuongezeka kwa gharama za fundi. Si ajabu kumalizia 10mil ktk msingi wa nyumba ya Vyumba vitatu ktk eneo la slope.
Hivyo basi kama hutaki kutumia gharama kubwa kwenye ujenzi epuka kununua viwanja vilivyo na slope.
Jambo lingine linaloathiri ktk location ni upatikanaji wa material.
Mfano mtu anaejenga mbezi beach atanunua tani 18 Za mchanga zaidi ya 450.000 Tshs wakati mtu wa Chanika atanunua Kwa 220,000tshs.
Pia boma utakalojenga kwa 8mil Mbeya, DSM utalijenga Kwa zaidi ya 15mil. Sababu Mbeya tofali ni cheap, labour ni cheap nk.
JE, WAJUA KWAMBA KUNA MFUMO MPYA WA MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO! USIHANGAIKE NA MFUMO WA ZAMANI. PATA MFUMO MPYA UACHANE NA GHARAMA ZA KUITA GARI ZA KUNYONYA UCHAFU.
Kwa ujenzi imara na wakisasa tutafutane 0655173113
View attachment 1753912View attachment 1778498View attachment 1792025View attachment 1792026View attachment 1792027View attachment 1799291View attachment 1963268View attachment 1963270
Asante sana ndugu Kwa ushauri na maelekezo murua

Jirani yako kama unamjua mshauri atibu hilo tatizo.Kwa ramani hiyo. Mimi msingi nimetumia milioni tano na point mkuu.
Hakika fundi anaenijengea yuko vizuri. Ingawa jirani yangu hapa naona boma lake lina expansion joint za kutosha kwa ndani