Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Habari,mimi nina eneo ambalo kwa kipindi hiki cha mvua kwenye kona moja ukitembea unaona kama unatitia kiasi,nikamuuliza jirani akaniambia hali hiyo ni kwa juu tu,ukichimba ft 2 utakuta ardhi ngumu,jambo hili lina ukweli wowote au ndo nijipange kwa gharama kubwa kujenga msingi. Eneo lina mita 30 kwa 30
 
Aina gani ya udongo?
 
[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…