Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Kwa hiyo wewe ni fundi aghali eee
 

Hata mi hili huwa najiuliza sanaa
 
Habari mkuu, kwanza nashukuru kwa uzi mzuri kabisa.Nilikua naomba kujua roughly gharama ya msingi wa nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, kimoja kiwe master, choo, sebule, dining, jiko na chumba cha kusomea. Kiwanja kipo eneo tambalale, naomba makadirio ya gharama ya msingi, ad kwenye renta na jumla ya nyumba nzima bila finishing. Ahsante
 

Boma tsh 15m

Kupaua 9m - 11m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…