Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Kazi nzuri sana QS
 
Mkuu kwenye kiwanja cha Tambalale msingi (mawe) wa vyumba vitatu bajeti ya 4m ni sawa?
 
Kwa ramani hiyo. Mimi msingi nimetumia milioni tano na point mkuu.

Hakika fundi anaenijengea yuko vizuri. Ingawa jirani yangu hapa naona boma lake lina expansion joint za kutosha kwa ndani
Je ulimwaga beam ya chini I mean mkanda wa chin kwa pesa hyo mkuuu
 
Mkuuu nimekuelewa zaidi maaana naw kila fundi anataka kukujengea nyumba yako anakushauri na beam ya chini rafiki yangu anajenga DODOMA BILA BEAM YA CHINI FUNDI WA KWANZA KAMFORCE AJENGE BEAM YA CHINI ALIKATAAA ILA FUNDI ANAFORCE IKABIDI JAMAAA AMPIGE CHINI FUNDI KATAFUTA FUNDI MPYA NDIO ANAJENGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…