Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Kabla ya kuweka zege kama maandalizi ya sakafu unashauri nini kianze?

Nature ya ardhi inakama tindiga fulan hivi msimu wa mvua ni tope.

Je ninaweza kuweka Moram then ni top up na zege au nipange mawe then ni top up na zege?

Asante.
Panga mawe then funika na nailoni (DPM) then mwaga zege
 
Ulichosema ni kwa maeneo yasiokuwa na udongo kichanga. Na kama mfinyanzi mkali, basi itakulazimu uweke vyote mchanga na zege
 
Ahsante Sana Kwa Elimu
 
Asante sana ndugu Kwa ushauri na maelekezo murua
 
Kwa ramani hiyo. Mimi msingi nimetumia milioni tano na point mkuu.

Hakika fundi anaenijengea yuko vizuri. Ingawa jirani yangu hapa naona boma lake lina expansion joint za kutosha kwa ndani
Jirani yako kama unamjua mshauri atibu hilo tatizo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…