Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF, Hamjamboni nyote...

Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika.

Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k

Tazama orodha:

1. Makumbusho
2. Kariakoo
3. Tegeta kwa ndevu
 
Pale kwa ndevu ni barabarani au mimi mgeni? Joto litoke wapi?
 
Watu wa Dar huu ushamba mtaacha lini? Yani ninyi mnahisi kila mtu humu jf ni mkazi dar.

Kwenye iyo taarifa yako ulipaswa useme vituo vya daladala vya mkoa gani, Au Dar tu ndo kunavituo vya daladala?

Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto Dar es salaam​

Mbona

una makasiriko 😃
 
Back
Top Bottom