Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Na magari yote ni full kiyoyozi!tafuta ela ununue gari, sisi wote tuna magari humu ndani.
alisikika mmoja wa mwanajukwaa
Pale kwa ndevu ni barabarani au mimi mgeni? Joto litoke wapi?Wadau wa JF, Hamjamboni nyote...
Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika.
Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k
Tazama orodha:
1. Makumbusho
2. Kariakoo
3. Tegeta kwa ndevu
Hahahaaaa......... Makazi ya Ras Mtimanyongo!Pale kwa ndevu ni barabarani au mimi mgeni? Joto litoke wapi?
Ok. Gari zenyewe ni virtz, passo, porte, ist au?tafuta ela ununue gari, sisi wote tuna magari humu ndani.
alisikika mmoja wa mwanajukwaa
Porsche mkuuOk. Gari zenyewe ni virtz, passo, porte, ist au?
wale wenzangu na mimi wenye PIJOTI tukae kimyatafuta ela ununue gari, sisi wote tuna magari humu ndani.
alisikika mmoja wa mwanajukwaa
una makasiriko 😃Watu wa Dar huu ushamba mtaacha lini? Yani ninyi mnahisi kila mtu humu jf ni mkazi dar.
Kwenye iyo taarifa yako ulipaswa useme vituo vya daladala vya mkoa gani, Au Dar tu ndo kunavituo vya daladala?
Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto Dar es salaam
Akiandika hivyo akiwa kashika bomba kwenye daladala ya Mbagala iliyojaa kupita kipimo🤣tafuta ela ununue gari, sisi wote tuna magari humu ndani.
alisikika mmoja wa mwanajukwaa
Hahahaaa, hongera sana! Ila timu baby walker karibuni tulisongeshe kisela kivyetu vyetu.Porsche mkuu