Fahamu Wasanii wa Africa wenywe followers 1m Instagram

Fahamu Wasanii wa Africa wenywe followers 1m Instagram

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Kwa Africa ni nadra Sana kukuta msanii ana 1m followers hadi sasa ni wasanii watatu tu ndo wenywe followers 1m Instagram ambao ni Diamond, Davido na Wiz Kid
 
Attachments

  • Screenshot_2015-09-09-08-04-24.png
    Screenshot_2015-09-09-08-04-24.png
    54 KB · Views: 575
  • Screenshot_2015-09-09-08-04-12.png
    Screenshot_2015-09-09-08-04-12.png
    45.2 KB · Views: 546
  • Screenshot_2015-09-09-08-04-01.png
    Screenshot_2015-09-09-08-04-01.png
    44.1 KB · Views: 544
Kwani ukawa hawajamu unfollow??? au walikuwa wachache???
 
Dogo anamashabiki dunia nzima, sio EA pekee... hata hawa makimbukeni wanaopiga kelele kuhusu Diamond na CCM wapo wachache sana na asilimia kubwa ni team coming soon, Ukawa tunaojielewa tupo team diamond team ushindi sio malimbukeni wa siasa kutaka kila mtu awe upande wako...

Minyoosho inaendelea
 
Mahbatein
Mahbath
Mahabaa
Mahababuba....
Hatariiii mpaka nakuogopa.
 
Mahbatein
Mahbath
Mahabaa
Mahababuba....
Hatariiii mpaka nakuogopa.

Daaaaah chibu anatisha sana...

Mwezi uliopita alizidiwa followers 30,000 na wizkid
lakini sahivi kazidiwa followers 7000 tu nadhani mnaelewa kinachoendelea, mpaka mwezi wa kumi uishe davido atakuwa pembeni...

kazi ipo kwa kiba, hta shilole kamzidi duuuuh
 
Kwani ukawa hawajamu unfollow??? au walikuwa wachache???

Walimuanfollow sana tu ila wakagundua wako wachache wakaona wauchune tu. Unadhani wangefika hata laki mbili mngelala? Wangeongea sana
 
Kuna kitu kinaniumiza kichwa, inasemekana bwana mdogo alikiba anamashabiki wengi sasa najiuliza inawezekana shabiki wa damu wa alikiba hujamfollow alikiba afu umemfolllw diamond? kwa mantiki ipi?

au ni kma kawaida ya bwana mdogo kutafuta kiki kupitia Raisi wa Wasafi dunia nzima? Naona ni mfano wa nyau anaejiona kama simba hivii, onatakiwa wamfollow afikie hta idadi ya followers wa Zari maana ni aibu Shardcole cute b pwilo miss lincoln sumbai
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom