Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Watu wengi wakisikia mtu anaongea kiarabu anasema yule muislamu sio kweli (kiarabu ni lugha kama lugha nyinginezo Duniani sema maneno ya yaliyoandikwa kwa Quran yameandikwa kwa lugha ya kiarabu so TUELEWANE.
Bible yenyew imetafsriwa kwa lugha ya nyingi sana .
Sipo kwa kuongelea dini mimi hapa me nipo hapa kuongelea kiarabu...
Bible yenyew imetafsriwa kwa lugha ya nyingi sana .
Sipo kwa kuongelea dini mimi hapa me nipo hapa kuongelea kiarabu...