Fahamu zaidi kuhusu kutongozana

Siku hizi muda huo watu hawana...

Unapewa Laki unaambiwa weka vocha

Unapewa 200k unaambiwa request bolt atakuleta Home.

Akifika kaliwa... Kuanzia kesho yake

Vocha nyingi ni ya buku...

Nauli anayo mwenyewe...
 
Unajua Sauti yako kama kinanda,

Macho yako kama Paka wa Kanisani

Tembea kama Malaika,

Ukicheka nasikia kama mziki.mtamu masikioni mwangu...

Kabla hujamaliza.. Anakukatisha Unaulizwa Una Sh NGAPI kwani kama huna twende tukamalizie maongezi kwako...
 
Sema huyo jamaa pichani ana demu mkali eeh! πŸ€©πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™Œ
 
Mkuu kwanini unaleta mada tamu la kutongozana, lakini uandishi ulioutumia ni kama unatupa jiwe gizani bhana!

Ungelieleza njia zote za kutongozea ili tuzijadili hapa, maana kuna 'sound' ama kuhonga ili kulainisha ama ubabe na vitisho kama nilivyovitumia mimi kupata mke.

Na pia utueleze ni kwanini wanaume wengine hutumia makuwadi kutongozewa, kulainishiwa kisha kuletewa mzigo bila hata kutupia ndoano?

Na utueleze kwanini wadada wengine watongozwapo huwa wamejipanga kuchongoroa mdomo kudhalilisha watongozaji, hili kijamii limekaaje?

Mambo ni mengi, sasa ugusie mote nilipoweka angalizo ili mjadala uwe wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…