Fahamu zaidi kuhusu kutongozana

Fahamu zaidi kuhusu kutongozana

Siku hizi muda huo watu hawana...

Unapewa Laki unaambiwa weka vocha

Unapewa 200k unaambiwa request bolt atakuleta Home.

Akifika kaliwa... Kuanzia kesho yake

Vocha nyingi ni ya buku...

Nauli anayo mwenyewe...
 
Unajua Sauti yako kama kinanda,

Macho yako kama Paka wa Kanisani

Tembea kama Malaika,

Ukicheka nasikia kama mziki.mtamu masikioni mwangu...

Kabla hujamaliza.. Anakukatisha Unaulizwa Una Sh NGAPI kwani kama huna twende tukamalizie maongezi kwako...
 
1. Sanaa ya kutongoza ni ngoma maridadi ya mvuto, haiba, na uhusiano wa kihisia.

2. Inapita zaidi ya mvuto wa kimwili, kuingia katika saikolojia ya tamaa na mwingiliano wa kibinadamu.

3. Kutongoza kwa mafanikio kunahusisha kuelewa mahitaji, matakwa, na udhaifu wa wengine.

4. Kujiamini ni kiungo muhimu; huangaza joto na kuwavuta watu ndani katika hisia ya pamoja'

5. Kujua lugha ya mwili huboresha mvuto, kwani ishara za hila na mguso wa macho unaweza kuwasiliana na kupendezwa bila maneno.

6. Mawasiliano ya karismatiki huwashirikisha wengine, na kuwafanya wajisikie maalum na kueleweka.

7. Kuunda hali ya fumbo huweka lengo lako likiwa na shauku na kutaka kujua zaidi.

8. Uelewa hukuruhusu kuunganishwa kwa kiwango cha kina, kukuza uaminifu na urafiki wa kihemko.

9. Ingawa utongozaji unaweza kuwa wa kuchezea, kutongaza inakubidi lazima uwe na msingi katika heshima na ridhaa.

10. Hatimaye, sanaa ya kweli ya kutongoza iko katika kujenga miunganisho yenye maana na kuimarisha mahusiano yanayoweza kuwa familia,
Sema huyo jamaa pichani ana demu mkali eeh! 🤩🤔🤔🤔🙌
 
Mkuu kwanini unaleta mada tamu la kutongozana, lakini uandishi ulioutumia ni kama unatupa jiwe gizani bhana!

Ungelieleza njia zote za kutongozea ili tuzijadili hapa, maana kuna 'sound' ama kuhonga ili kulainisha ama ubabe na vitisho kama nilivyovitumia mimi kupata mke.

Na pia utueleze ni kwanini wanaume wengine hutumia makuwadi kutongozewa, kulainishiwa kisha kuletewa mzigo bila hata kutupia ndoano?

Na utueleze kwanini wadada wengine watongozwapo huwa wamejipanga kuchongoroa mdomo kudhalilisha watongozaji, hili kijamii limekaaje?

Mambo ni mengi, sasa ugusie mote nilipoweka angalizo ili mjadala uwe wa maana.
 
Back
Top Bottom