Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Naomba msaada tafadhari nina rafiki yangu mpenzi ameshambuliwa karibu miaka 15 sasa. Please.
Huu ugonjwa hauna dawa
Halafu hauna madhara kiafya maana hauumi wala kuwasha isippkuwa huharibu muonekano wa ngozi
Hivyo dawa ni kujikubali tu
 


Kwahiyo kwenye mikutano na vyombo vya usafiri unawaandikia hiyo dawa right away. Lakini hapa JF umeshindwa kabisa kuiandika hiyo dawa, eeh?

Hahahaa umeona ujinga wako hapo mkuu? Bado sana wewe, rudi tena class ufuzu vizuri. Labda uwapate wajinga wajinga. Lol

Mimi sikukuuliza kwamba ulipona kwa BEI gani. Ni nini motive yako ku-mention hiyo amount?

Wenye akili weshajiongeza vyema.

Mimi sina tatizo hilo, ila nimesema kwa niaba ya wahitaji. Unaishia kujitapa tu ooh "mimi nilipona, dawa ipo". Dawa yenyewe huisemi, ndo nini sasa? Hovyoooo!

Nikukumbushe kitu... Jf ni darasa tosha, watu wengi wanasoma humu na kujifunza mengi yenye manufaa. Watu wanaweka mambo hadharani for all readers kunufaika ama kujifunza... hii ndo desturi nzuri sana iliyopo hapa JF. I am sure nawe pia tangu uwe member humu, either umeuliza or umesoma na kujifunza mengi ambayo hukuwa aware of, sababu members wanasaidiana kwa kuchangia hadharani.

Ukiliweka jambo publicly hapa JF, linakuwa msaada hata kwa vizazi vijavyo if Jf itakuwa bado ipo. Remember you are a victim of vitiligo, the genetic disorder. As such, mjukuu or kitukuu wako anaweza pia kupata vitiligo then akapitia Jf na kupata tiba uliyoandika wewe.

Otherwise, endelea kuwaandikia bure wahitaji hiyo dawa kwenye mikutano na vyombo vya usafiri, ila hapa JF mpaka mtu akufuate PM. Bullshitt!!!

-Kaveli-
 
You dont force me to do what I dont want to do. Hata mimi sikupata hiyo taarifa kwenye public. I am free to share this information in anyway, anyhow, anytime, to anyone and anywhere I see it is appropriate. Ninajua namna watu wanateseka. If I share with my safari mates, or anyone I see, that is none of your business and you have no authority over that. Achana na mimi, endelea na ugonjwa wako. Kama wewe huumwi kinakusumbua nini? Leave me alone na usinisumbue na ujinga wa kupenda malumbano hata pasipotakikana.

I AM NOT GOING TO DO AS YOU WISH!. PERIOD!

 
Reactions: BAK
Ninaomba nipingane na wewe. Mimi nilikuwa na hili tatizo na nilipona kabisa. Anayetaka dawa ani pm nimwelekeze. Ni miaka mingi imepita lakini ninaimani kwa Mkono wa Mungu, bado ile dawa ipo.
Kwa nini usiiweke apa wafaidike na wengine?
 
Mkuu kwa nini usiweke hadharani ili uzi huu ukawasaidia wengi wenye tatizo hili hata kwa miaka mingi ijayo? Pole sana Mkuu.

Ninaomba nipingane na wewe. Mimi nilikuwa na hili tatizo na nilipona kabisa. Anayetaka dawa ani pm nimwelekeze. Ni miaka mingi imepita lakini ninaimani kwa Mkono wa Mungu, bado ile dawa ipo.
 
Jamii is a forum where people dare to talk openly... Kwa issue za namna hii eti nicheck pm.!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] No Hata kama ni Mimi siitaki dawa yako kabisa...
 


Eti unajua namna watu wanavyoteseka... Hahaha hiyo 'huruma' inatoka wapi sasa wakati hutaki kushea hiyo the so called 'tiba' ya vitiligo. Lol. We mzee ni liongo sana.

Tangu lini mtu akakataa kushea genuine dawa iliyomponesha really at cheapest cost as you claim?

We jamaa ni muongo tu, huna dawa. Unataka watu wakufuate huko PM uwapulule hako kaelfu 30 eeh. Hahaha ama kweli awamu hii njaa kali.

Fact: mtu mwenye nia genuine ya kusaidia watu (tena for this case ni wahanga wenzio) hufanya mambo publicly. Even with a price tag on it, but it goes public. Lakini mambo kufanyika huko sirini (pm) ni dalili ya usanii na utapeli. Mpaka wakufuate PM, so unataka kuficha nini? Unaepuka nini kutoishea hapa openly, and what do you want to achieve huko PM?

Unaposema eti unajua watu wanavyoteseka na unajitapa kuwa eti dawa unayo ila you won't share it publicly bcoz wewe hukuipata publicly, hujioni jinsi ulivyo msanii?

Wewe kama ni muuzaji wa dawa kuwa muwazi tu and convince people with details za hiyo dawa yako ili sasa upate wateja wa kukufuata huko PM.

Unune or ususe or ucheke, reading btn your lines... wewe huna hiyo dawa bali ni msanii tu. I bet you are just a liar!

And possibly hujawahi hata kupata hilo tatizo la vitiligo, ni msanii tu unayetaka kuwapiga wahanga wa tatizo hilo. Naona umeisema na amount kijanja... elfu 30 tu . Lol

I am not forcing you to do what you don't want to do, rather am just analyzing that Wew ni msanii, period! You are not compelled by anyone here.

Now tell me, so na hao unaowaandikia hiyo dawa huko PM... hawatakiwi kuidiclose hiyo dawa publicy kwa vile umewapea PM?

Ama kweli duniani... wonders shall never end!

Mark my words: Unazeeka vibaya mkuu.

-Kaveli-
 
Jamii is a forum where people dare to talk openly... Kwa issue za namna hii eti nicheck pm.!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] No Hata kama ni Mimi siitaki dawa yako kabisa...

Tapeli tu huyo, hana lolote. Njaa kali awamu hii mkuu.

Either yeye mwenyewe anadai pesa or anawalink watu kwa tapeli mwenzie.

-Kaveli-
 
Huu ugonjwa hauna dawa
Halafu hauna madhara kiafya maana hauumi wala kuwasha isippkuwa huharibu muonekano wa ngozi
Hivyo dawa ni kujikubali tu
Nikweli Bitoz hata huyo rafiki yangu nilipomueleza kwamba nimepost hii aliniambia nisijisumbue. Yeye ni nurse tena ana degree ya nursing na mme wake ni Dr. ila kuna watu walisema humu kuwa kuna dawa ndo maana nikahisi kuna tiba mbadala. Thanks.
 
Hello jamiii forum
Kwanza atakae kuambia kuna dawa ya genome modifications ya vitiligo anakudanganya.. ..japokua kuna njia ya kupunguza ama kuondoa white patches hii inahusisha
1.creams ...kwa wale ambao patches zao ni too early creams zinaweza tumika mfano creams zenye corticosteroids eg acetonide japo zina effect kadhaa

2.Skin bleaching. ..hii ni surgery ndogo ya kumodify skin na kuondoa patches

3.skin grafting. ..hii nlifundishwa class ila cdhani practically ka ipo Tanzania cuz inahusisha sugery kubwa ya kupandikiza ngozi...policy ya TZ hakuna kuextract viungo vya wale wanaokufa salama kwaajili ya medical re-use

4.Psoralen photochemotherapy hii ndo most effective of all unatibiwa kwa psoralen

5.melanocyte transplant. ..hii melanocyte stem cells zinapandikizwa upya kwenye stratum basale yako (Hii ni very costful)

My take:ww mwenye tatizo muone dermatologist au daktari yoyote atakushauri njia nzuri na effective kutokana na intensiveness ya tatizo lako
Pole saana mkuu
 
Nikweli Bitoz hata huyo rafiki yangu nilipomueleza kwamba nimepost hii aliniambia nisijisumbue. Yeye ni nurse tena ana degree ya nursing na mme wake ni Dr. ila kuna watu walisema humu kuwa kuna dawa ndo maana nikahisi kuna tiba mbadala. Thanks.
Either wanayo kweli hiyo dawa mbadala maana hatuwezi kujuwa or ni matapeli

Kumbuka hadi watu mabilionea km Michael Jackson uliwashinda
 
Either wanayo kweli hiyo dawa mbadala maana hatuwezi kujuwa or ni matapeli

Kumbuka hadi watu mabilionea km Michael Jackson uliwashinda
Ni kweli mpaka Michael akaishia kutumia madawa ya kujipaka na kutumia dawa za kulevya ili apoteze mawazo. Alikosa self esteem yule hasa baba yake alimfanya kitu kibaya. Nilisoma mahali kuwa alimhasi.
 
Mkuu kwa nini usiweke hadharani ili uzi huu ukawasaidia wengi wenye tatizo hili hata kwa miaka mingi ijayo? Pole sana Mkuu.

Ahsante mtkuu. Kwa ushauri wako. Siyo wale wanaohamaki nakuanza kuniita tapeli as if ninavuta fedha kutokamifukoni mwao au mimi ndiye ninauza ama kutegneneza hizo dawa.
 
Kuna imani nyingi Potofu juu ya ugonjwa huu....wengine wanasema eti umekula/kulishwa nyama ya Binadamu na Mchuzi wake kudondokea kwenye ngozi.........Ukweli ni ukosefu wa aina fulani ya Protini mwilini na kusababisha kutokutengenezwa kwa kitu kinachoitwa Skin pigment........Ushauri jitahidi kula Nyama nyekundu kwa wingi kiasi isiyochomwa sana.... angalizo Nyama ikaguliwe/kupimwa kuona kama haina madhara, hakika utapona......
 
Habari zenu!!

Naomba kupatiwa msaada wa tiba ya ugonjwa wa vitiligo.

Mwenye uzoefu wa ugonjwa huu, atoe mawazo yake anisaidie!!
 
Habari ndugu mm nimeanza shambuliwa Na vitiligo hasa mikononi cream gan itanifa?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…