monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mkuu acha kubishana na hawa madogo wanaokaa kwa shemeji zaoSuala la nyumba huliongelei au sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangia 2016 kawatoa wangapi kwenye umaskini?? Mbona walirudi humu wakiwa wanalia lia. Sasahivi mmehamia Twitter hehehe
Huo ni uzi bro bado kuna maelezo yanaendelea huko chini
I rest my case mkuu.. Ngoja niwaache wapambane na jamaa yaoMkuu acha kubishana na hawa madogo wanaokaa kwa shemeji zao
Wanadanganya mademu zao kuwa "kuna mchongo nausikilizia"
Narudia tena hawa vilaza achana nao tu
Usiwaache Mkuu.I rest my case mkuu.. Ngoja niwaache wapambane na jamaa yao
Waulize TMT wanajua habari ya Ontario ni nani aliowatapeli.Kamtapeli nani??
Ndio akili kumkichwa mtu mwenye mijengo anaenda kupanga kivipi wakati uchumi ukiyumba? Kwani Post zake zote na replies twita unazijua?wapi alisema ana mijengo kibao? hata kama anayo, nani kasema haruhusiwi kupanga?
Mimi ni Ontario???
[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo nyinyi ni wakishuaKwa kifupi ni mshkaji nimesoma nae high school.. Wazazi wake wanaishi makonde chini na mimi naishi Africana karibia na whitesands, hapo kwa wazee wake nishafika sana. Ni mwendo wa dakika 15 tu kwa mguu kutoka ninapoishi
Hujielewi wewe nenda kwa mr kuku uko ukawekezeWewe kuna mambo mawili.
1. Uliwekeza ukalizwa.
2. Wewe ni mshirika wake.
Ndo maana unapanic
[emoji23][emoji23][emoji23]IQ ndogoJF wanataka wote waww kondoo wakiamini kitu basi nawewe ungana nao ukihoji wanakugeukia wote kukurukia mibichwa.
Hujielewi wewe nenda kwa mr kuku uko ukawekeze
[emoji23][emoji23][emoji23]IQ ndogo
Taja mtu mmoja alie tapeliwa na Ontario.. TMT unaijui ? unajua ilikua inafanya kazi gani?? yani unashinda kupata jina au mtu mmoja tu unae mjua katapeliwa na Ontario alafu unavimba hapa kusema jamaa katapeli watu ? acheni hayo mawazo ya kijingaWaulize TMT wanajua habari ya Ontario ni nani aliowatapeli.
Ndio akili kumkichwa mtu mwenye mijengo anaenda kupanga kivipi wakati uchumi ukiyumba? Kwani Post zake zote na replies twita unazijua?
Muda rafiki mzuri.
Hakuna mtu anaweza kukusaidia kupanua uelewa wako wa jambo lolote kama hutoamua jisaidaSijaona ile read more, kwahyo kwa ufupi huo tunaelewa hiyo nyumba ndo amemaanisha aliijenga, hiyo ni moja.
Pili, kama amekuwa amenyoosha maelezo vizuri hiyo nyumba ingejulikana ni mfano tu na yule jomba asingeomba afute picha, hiyo ni mbili.
Tatu, kama una ushaidi maelezo yanaendelea lete screenshot tuhakiki kama unayoyasema ni kweli, hiyo ni tatu.
Hakuna mtu anaweza kukusaidia kupanua uelewa wako wa jambo lolote kama hutoamua jisaidaSuala la nyumba huliongelei au sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangia 2016 kawatoa wangapi kwenye umaskini?? Mbona walirudi humu wakiwa wanalia lia. Sasahivi mmehamia Twitter hehehe
Hata nikikwambia utanisumbua na maswali ya ajabu bora uache tu ivoww una IQ ya ngapi
Sawa hujielewi mwenzanguWe ndo hujielewi
Hata nikikwambia utanisumbua na maswali ya ajabu bora uache tu ivo
Sawa hujielewi mwenzangu
Teh teh hapana mkuu nakaa kwa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo nyinyi ni wakishua
Kuendelea kukujibu ni kujipotezea muda..Hakuna mtu anaweza kukusaidia kupanua uelewa wako wa jambo lolote kama hutoamua jisaida
mfano
mtu akaandika, lengo langu mwaka huu lilikua kununua timu ya mpira, akaweka picha ya Simba sc.. hiyo inamaanisha amenunua hiyo timu??
chini akaendelea, lengo la pili nilitaka jenga uwanja ambao timu yangu angeutumia, akaweka picha ya uwanja wa taifa, kwahiyo kwa akili zako wewe utasema uwanja wa taifa ni mali yake??
mbona vitu vidogo sana hivi mnashindwa tambua??
Aliowatoa kwenye umasikini
Mtafute Clinton (hata kwenye page yake insta yupo)
mtafute Dar Suit.. nenda insta utamkuta , ukanunue na suit kwake pia, anauza bei rafiki tu
Insta huko huko mtafute na Elikanafx
hao watatu wanakutosha