Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimechezanae sana kombolela
Na ana mtoto wa kiume mkubwa pia.bila kusahau ana binti wa miaka 22 aliyezaa na mtangazaji Hamis Dakota wakati huo akiwa binti wa miaka 16
Aliandaa 2011 lazima. Naona kasema umr wa mtt ni 6hili andiko uliliandaa muda kidogo siyo?
Huo wimbo ni Vitu Adimu na kaimba Mad Max na sio Man Max akishirikiana na Darleen, kwenye game kitambo sana kuna ngoma za kitambo kweli inasikika sauti ya Queen Darleen kama zile za Dully Sykes na wengineoQUEEN DARLIN
_________________
Mwajuma Abdul Juma, wamezaliwa baba mmoja mama tofauti na msanii wa bongo fleva Nasib Abdul ‘Diamond’ ambapo alizaliwa jijini Dar es salam mwaka 1985 na kupata elimu yake ya msingi na Sekondari jijini Dar es Salaam.
Amekuwa akiupenda muziki tangu akiwa mdogo ambapo tangu kushirikishwa katika singo hizo ya Dully Sykes jina lake lilishika kasi kwenye medani hiyo na hivyo kuanza kupata mialiko ya kimuziki sambamba na kushirikishwa katika kazi ya baadhi ya wasanii ikiwemo singo ya Mtoto wa Geti Kali ya Inspekta Haroun. Hivyo jina lake kubaki kuwa vinywani mwa watu mwaka 2005 alijiweka kando na muziki baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Rooney (6).
kabla ya kurejea tena jukwaani mwaka 2006 alipotoka na singo yake ya kwanza iitwayo "Wajua Nakupenda"
aliomshirikisha Ali Kiba ambayo pia ilifanikiwa kufanya vema.
Darleen alielekeza nguvu zake katika kutunza familia yake huku muziki akiupa nafasi ndogo kabla ya mwishoni mwa mwaka jana kutoka na singo ya Maneno Maneno aliomshirikisha Dully Sykes ambao ulipata matokeo makubwa na hatimaye kutwaa tuzo hizo.
Anavutiwa zaidi na wasanii kama Chris Brown, Eve kwa upande wa wasanii wa nje ya nchi huku kwa hapa ndani akivutiwa na Rachel wa THT, Diamond, Ali Kiba na Mwasiti.
Queen Darleen anasema atakuwa mchoyo wa fadhila kama asipowashukuru waliomuwezesjha kufika hapo akiwemo meneja wake Guru ramadhan, Mtayarishaji KGT wa G Records, Ude Ude na Dully Sykes...
Baadhi ya nyimbo alizoshirikishwa.
Lil Taqwa Feat. Dully Sykes & Queen Darlin – Kifo Chs Mpenzi.
Man max - vitu Dimu
Nk...
Queen Darleen ambaye alitwaa tuzo ya wimbo bora wa Ragga/Dancehall katika tuzo za Kili mwaka 2012...
#funguka
Umejifunza nini
View attachment 2912383
Ni salamu tu.Ama baada ya salamu ni kujua waendeleaje na vipigo vya sukari?Nimejifunza amezaliwa daslam, dhumuni la barua hii ni nini?
Kacopy na kupaste bila hata kuedit kilaza huyu 😂😂😂Nimejifunza kuwa kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2024 ni miaka 6 !!!!
kuliko huyo aliyezaa na Dakota?Na ana mtoto wa kiume mkubwa pia.