Fahamu zaidi kuhusu msanii Mwajuma Abdul Juma a.k.a Queen Darlin

Nilitegemea kuona wimbo wa muhogo,tawire ktk hili andiko lako na ndiyo track za mwisho kuziachia pamoja na ile aliyomshirikisha Lava lava
 
Huo wimbo ni Vitu Adimu na kaimba Mad Max na sio Man Max akishirikiana na Darleen, kwenye game kitambo sana kuna ngoma za kitambo kweli inasikika sauti ya Queen Darleen kama zile za Dully Sykes na wengineo
 
Taarifa yako hata hivyo haijajitosheleza at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…