Fahamu zaidi kuhusu Wachagga

Wewe ushawah kut**** na mwanaume wa kichagga au waongea tu? Individual differences ndo una associate na kabila lote? Fafanua pia namba mbili na moja!!


Mi si bingwa wa kutomba wake za watu ila wanawake wengi ambao nakutana nao hapa Bongo wengi ni wachagga na somehow wote wameolewa. Cha kusikitisha utakuta demu mwenyewe anakuambia mi sio kama nakupenda ila napenda jinsi unavyonipa raha kitandani. Kuna wengine utasikia mume wangu akiirudi nyumbani na hela pungufu mze wake hasimami kwa jinsi anavyokuwa na hasira. Usikasirike na kwenda kumpiga mkeo nyumbani, nakupasha ukweli tu. By the way, nimefafanua tatu kwani ndiyo nina uhakika nayo, hizo moja na mbili zina wenyewe subiri tu watakuja kukupa ukweli ila usilie tu.
 
Umesahau kusema kuwa wachaga ni mkusanyiko wa makabila kuanzia wakikuyu, wamasai, wakamba, wameru na mengine mengi. Njau na Kimathi ni wakikuyu. Mengi ni wakamba. Mbatia ni masai wengine wenye upeo waendeleze.

kuna wakenya wanaitwa mosha na mushi sijui imekaaje hiyo?
 
Ok then! Hao wanawake wanaokucfia ts just they are hooking ua bucks buddy! They also want money. Pili cna cha kuniliza bse mie cio mchagga arifu.....i wanna know the facts only bse mengi yanapotoshwa kuhusu hawa watu.
 
they are so brave bro waliacha tmbarare kwaajili ya kilimo bora na kule milimani sio kuzuri kwa kilimo cha mfano mahindi maharage kule hakuna mwanga kwaajili ya miti mingi na mimea hiyo inahitaji mwanga,thats the reason,kule milimani wanalima kahawa na migomba ambayo inahitaji kivuli kingi theni ,walipaacha kwa ajili ya mazao ya muda mfupi ,kwani kahawa ,ndizi ni zao lakudumu ,huwezi yachanganya kabisa.
 
Kuna sifa moja maarufu huyo aliyeandika habari ya wachagga kaisahau, nani anaikumbuka?
Amesahau kuwa mfano mwanamke ukienda kusema unaleta mchumba nyumbani.chakwanza utaulizwa ni kabila gani?,anafanya kazi gani?etc na watu wakuja kule yaani kabila lingine unaitwa chasaka au nyamusi au ikwawi
 
kuna wakenya wanaitwa mosha na mushi sijui imekaaje hiyo?

hao na wengine wengi ni ndugu zetu tuliotengana nao zamani wakati mababu zetu walipokuwa wanatembea kutafuta ardhi yenye rutuba tanganyika ya sasa.
 
 
Aseeee......
Duh!!!

STUKA!!

Tanzania Kwanza.
 
Kumbe wachaga ni ma great Thinkers muda mrefu ndiyo maana wanawaogopa.Kumbe Kilimanjaro ndiyo inaongoza kwa kuwa na shule nyingi? ndiyo maana katika kila watoto kumi nane ni form 4 au 6.
 

Mashamba yako sehemu za tambarare kwa kuwa zina rutuba na hii inatokana na geographical ya mkoa wenyewe, kipindi cha Mvua maji hutiririsha masalia na uchafu wote kutoka sehemu za milimani hadi zile sehemu za tambarare ndio maana zinafanywa za kilimo, watu hawaishi zile sehemu za tambarare kwa kuwa msimu wa kiangazi kunakuwa na joto kali sana
 


ila mbona sasa huwa mnadai hakuna ardhi ya kutosha? mbona kama huku maporini kwenu mkipanda miti mwaweza kuish? manake ni tambarare nzuri tena kubwa bafikir kuliko hata vijiji yenu?
 
mleta mada kuna kitu amesahau."kwanini wachaga wengi sura zao zimefafana?yaani ukimwaona sura tu, utajua huyu ametokea moshi,why?
 
Reactions: SIM


wachagha wachagha hivi tanzania haina makabila mengine?
 
mtoa mada kuna kitu amesahau,kwanini wachaga wamefafanana yaani nirahisi sana kumgundua mtu anaetokea moshi,eidha kwa mwendo au sura.ufafanuzi plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…