Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Menu muhimu mradi ujue kuibalance, sio unajaza mi-starch tu na mafuta kibao!!Na wewe PJ we unataka mwenzio asipate menu ...hebu nipe mbinu za kuyapunguza naona yananinyemelea kwa mbali..mie na chakula damu damu kweli kweli...
Kama kweli kuna ch*pi!! Nikizoom sioni hata alama za ch*pi!!
Yana extra lens kwani nimevaa miwani! Wewe ukifukunyua unaona nini?Hivi macho yako ni ya kawaida au yana extra lens??
Utamu wa kondoo uko mkiani mwake bwana, si watu wa Tanga twajua hilo shekh.Suna hiyooooooooo
Kama kweli kuna ch*pi!! Nikizoom sioni hata alama za ch*pi!!
Mie hips tuuuuuu!
Kama kweli kuna ch*pi!! Nikizoom sioni hata alama za ch*pi!!
Kijungu cha kishkaji mmekionaa?