Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Menu muhimu mradi ujue kuibalance, sio unajaza mi-starch tu na mafuta kibao!!Na wewe PJ we unataka mwenzio asipate menu ...hebu nipe mbinu za kuyapunguza naona yananinyemelea kwa mbali..mie na chakula damu damu kweli kweli...