Fahari ya mwanaume

Fahari ya mwanaume

huyu kuna aina ya maisha yamemzunguka na naona yamemuathiri sana...may be na kukosa exposure ya maisha na watu tofauti tofauti....na wakati mwingine huwa inatujengea definition ya ndoa tofaut tofaut

Hahahaaaaaaaa! EXPOSURE!!!!!!!!!!!!! Ipi labda ambayo sina? Mimi mthomi tena nimesoma shule za bei chafu kwa enzi hizo, wazazi wangu alhamdulilah wana PROFESSION zao, ndugu zangu MASHALLAH wameiona dunia na wanajiweza sanaa tu! Na mimi mwenyewe si haba I HAVE DATED SOME HIGHLY SUCCESSFUL MEN! THEY TOOK ME PLACES, Nimefanya kazi MULTINATIONAL COMPANIES na watu wa maana hadi EXPATRIATES!!!!!!!! Nimedhunguka dhunguka dunia kwa ndugu dhangu abroad, nimesoma higher learning institutions. SASA SIJUI EXPOSURE GANI UNAYOSEMEA???????????? LABD NIKO OVER EXPOSED!!!!!!! YOU DONT KNOW ME DUDE!!!!!!!!! DONT TALK OF SOMETHING YOU DONT HAVE A CLUE.

TRUST ME WEALTHY MEN ARE THE WORSTTTTTTTTTTTTTTTTT!!!!!!!! Bora hata wa uswazi kidogo wana utu!
 
.una Maarifa na Hekima ya kiwango cha juu sana dada angu Lizzy, na mara zote umekuwa mtu uanyetazama mambo kwa mapana yake..utamu wa hii kitu umeanzia pale uliposema "Mwanamke anatakiwa amsaidie mwanaume wake kuona na kupata fahari kwa kuwa na mkewe huyo, familia, nyumbani n.k"..ningelipenda kwa wadada/wake wa humu MMU wavae viatu vyako na tena katika hekima zako hili somo liwe jepesi kwao kama ulivyokusudia,somo zuri kwakweli na endelea kupakua yale uliyonayo ili wengi wasimame katika mtazamo chanya, elimu bado inahitajika tena sana hasa wakati huu.
 
Aliyekuoa mama ana raha sana Safi kabisa wanawake kama nyinyi mna stahili tuzo kabisa!

Kwa bahati mbaya wanawake wa jinsi hiyo hupata wanaume bomu kabisa,wengi wao huangukia kwenye mikono ya wanaume wasio na shukrani,wasiotambua thamani ya wanawake wa jinsi hyo.
 
Kwa bahati mbaya wanawake wa jinsi hiyo hupata wanaume bomu kabisa,wengi wao huangukia kwenye mikono ya wanaume wasio na shukrani,wasiotambua thamani ya wanawake wa jinsi hyo.
Na kinyume chake pia ni kweli. Ila wapo weye bahati wanakutana mwanaume na mwanamke wote ni wazuri, kinachowafelisha ni juhudi tu.
 
Asante segere

Na mie najifunza kadiri muda unavyoenda. Kabla ya kulalamika sharti tujiulize ni kwa kiasi gani tunajitahidi kuchangia na kufanya mambo kuwa vile tunavyotaka/penda sisi. Sio mtu unalalamika tuuu wakati hufanyi juhudi zozote kufanya mambo yawe mazuri kwako na kwa mwenzio pia.
 
Last edited by a moderator:
Umeongea yote Lizzy mamii. Mwenye kuelewa ataelewa, pia itasaidia kubadilisha pia.
 
lara vs lara 1 ?

btw, Lizzy, as i usually tell you! you have my rpomise remember! dont break the offer!

nice work actually!
 
Last edited by a moderator:
941933_489216241145085_1458911812_n.jpg

Hii ndo ndoa yangu
 
WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!! Hawabbeki kama zigo la miba!

Mimi kuna mwnaume mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi zamani, saivi hana kazi, hana biashara, yupo u mjini anafugwa na mkewe (alitumia akili kuoa mambo safi). Kula, kulala. Sasa kukutana ananidai mzigo niliomzingua 3 yrs back, anadai twende Zenji kujipumzisha hapo bank card ya mkewe ndo itatumika! Nikamwambia mimi nipo Kwaresma sina mda mchafu wa kuzini kwa mkopo.

Shukrani ya WANAUME tuulize sie ndo tunaiona ona walau kidogo ila wenye mali zao mmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!

GIRLS JUST LIVE YOUR LIFE AND MAKE YOURSELVES HAPPY! Ukiingoja fahari ya mwanaume UTASUBIRI SANAAAAAAAAAAA! Miaka 10000000000000000000 na usiione. Labda akikupiga Free........ ndo anaona fahari yako baaaaaaaaaaaaaaaaasss!. (Perdon my lack of manners and STATING THE OBVIOUS!!!!!!! Calling a SPADE what it actually is A SPADE )

Kwa povu hilo wewe si fahari hata kwako mwenyewe.
 
Hahahaaaaaaaa! EXPOSURE!!!!!!!!!!!!! Ipi labda ambayo sina? Mimi mthomi tena nimesoma shule za bei chafu kwa enzi hizo, wazazi wangu alhamdulilah wana PROFESSION zao, ndugu zangu MASHALLAH wameiona dunia na wanajiweza sanaa tu! Na mimi mwenyewe si haba I HAVE DATED SOME HIGHLY SUCCESSFUL MEN! THEY TOOK ME PLACES, Nimefanya kazi MULTINATIONAL COMPANIES na watu wa maana hadi EXPATRIATES!!!!!!!! Nimedhunguka dhunguka dunia kwa ndugu dhangu abroad, nimesoma higher learning institutions. SASA SIJUI EXPOSURE GANI UNAYOSEMEA???????????? LABD NIKO OVER EXPOSED!!!!!!! YOU DONT KNOW ME DUDE!!!!!!!!! DONT TALK OF SOMETHING YOU DONT HAVE A CLUE.

TRUST ME WEALTHY MEN ARE THE WORSTTTTTTTTTTTTTTTTT!!!!!!!! Bora hata wa uswazi kidogo wana utu![/Q Ndo nlichokua naongea....embu soma coment zako na post zako they are similar in some facts kuhusu maisha...kuna NEGATIVITY unazoongea kuhusu maisha n u always talk about that over and over again(kwa njia tofauti)....na exposure nliongea sio ya shule, kuasafiri nchi mabli mabli au all that...ni exposure ya maisha tu kujua aina mabali mabali za maisha na mahusiano na maisha kwa ujumla(kujua kuna watu wanaishi maisha ya kupendana na yanapendana, kujua kuna wanawake wanawaheshimu wanaume na maisha yanaenda kujua kuna watu wana-hustle kutafuta hela kawaida na inawezekana and all that)...I know hatuwezi kulingana kuhusu ufahamu wetu wa maisha...ila kama unajua kitu flani au maisha flani it doen't mean hamna maisha mengine...
 
Mamy Lizzy umenena la maana cijui sisi wadada/wamama nanikatuloga jamani jaman...
wengi tunajisahau na kuona tupo sawa na wanaume sababu ya technologyna kudai haki sawa cos ya elimu,magari,pesa,biashara n.k but we are real mistakenjaman. Unakuta mama yeye yupo na tv 24hrs,kutwa kushinda salon,macho kaweka juujuu kama precision airways inataka kupaa ,yeye ndo chairman wa umbea wa mtaa,unaroho ya kasksi na choyo plus unafik ooooh ,kavaa tyt plus top juu kitovukimemtoka ,na mkorogo wa cheap umedunda jaman jaman yeye kuvaa nguo za heshimana vitenge ni sumu anakuambia mimi siomzee

Men will always remain men tena ni kiongozi no matter unaPHD Or pesa kiasi gani ,tubadilike actlike woman be decent,loyal,use polite language,take care &love ur child nhubby,roho ya upendo yenye woga wa MUUMBA wako,roho ya ukarimu kwa ndugu,makeur house clean to be sweety home not garage,vaa kwa heshima jua tofauti ya nguoya kanisani,kazin.na outing,pika chakula safi na kitamu kwa familia yako.If udone this and ur hubby not proud of u,not value u must have a mental problemsure.mume ataona hata fahari kutoka na wewe,kukudhamin,kukupenda nakukutambulisha kwa yoyote

Last edited by a moderator:
It is a beautiful feeling being a good wife.

But hell hath no fury like a woman scorned.

When she makes that 360 degree turn, hell breaks loose.

Believe me no unhappy woman makes a beautiful home.

Nasikitika hujaongezea kipengele cha mazoezi katika mapenzi
 
WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!!

Pole naona unadondokea sana mikononi mwa wanaume wasio na shukrani.
 
WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!! Hawabbeki kama zigo la miba!

Mimi kuna mwnaume mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi zamani, saivi hana kazi, hana biashara, yupo u mjini anafugwa na mkewe (alitumia akili kuoa mambo safi). Kula, kulala. Sasa kukutana ananidai mzigo niliomzingua 3 yrs back, anadai twende Zenji kujipumzisha hapo bank card ya mkewe ndo itatumika! Nikamwambia mimi nipo Kwaresma sina mda mchafu wa kuzini kwa mkopo.

Shukrani ya WANAUME tuulize sie ndo tunaiona ona walau kidogo ila wenye mali zao mmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!

GIRLS JUST LIVE YOUR LIFE AND MAKE YOURSELVES HAPPY! Ukiingoja fahari ya mwanaume UTASUBIRI SANAAAAAAAAAAA! Miaka 10000000000000000000 na usiione. Labda akikupiga Free........ ndo anaona fahari yako baaaaaaaaaaaaaaaaasss!. (Perdon my lack of manners and STATING THE OBVIOUS!!!!!!! Calling a SPADE what it actually is A SPADE )
Dada lara 1 una tatizo kubwa sana la kisaikolojia na hili limesababishwa na background ya mahusiano yako ya nyuma.na pengine hata marafiki zako walikuwa hivyo haya watu wanayoyaongelea ni kwako ni mbingu na ardhi havipatani.The future of our Destiny is in our hands sizani kama kuna siku uliwahi muhusisha Mungu katika suala la maisha ya mahusiano yako.Pengine Mungu hujibu maombi ya kipaumbele chako kwamba mwanaume pesa anakupa wenye pesa ila hawafanyi responsibility zote ambazo wanapaswa kukupatia ukiachilia mbali kukupa pesa na kukuhudumia.Maisha ni wewe ndiye unayeyapanga Mungu hujibu matokeo yanayotokana na njia tulizozipitia katika maisha yetu.kama maisha kwako ni pesa.hamna sababu ya kupewa mtu asiye na pesa utapewa mwenye pesa ila akikosa vingine usilaumu sababu ur priority is money first. Sio kwamba napinga mtu kupenda pesa ila ninachokionyesha hapo. Kama huna upendo wa dhati na roho ya kutimiza wajibu wako kama mwanamke katika uhusiano itakuwa kazi sana kumpata the right man ambaye hatokuumiza.Akiwazo mtu ndicho kinachomtokea kama kwako wanaume hawana fadhila itakuwa hivyo kwako mpaka una kufa ila hiyo haindoi ukweli kuna wanawake hadi wanajiona wao ndo wenye makosa kutokana tu na wanavyotendewa na wanaume zao change ur mindset if you really want to live in peace
 
Mamy Lizzy umenena la maana cijui sisi wadada/wamama nanikatuloga jamani jaman...
wengi tunajisahau na kuona tupo sawa na wanaume sababu ya technologyna kudai haki sawa cos ya elimu,magari,pesa,biashara n.k but we are real mistakenjaman. Unakuta mama yeye yupo na tv 24hrs,kutwa kushinda salon,macho kaweka juujuu kama precision airways inataka kupaa ,yeye ndo chairman wa umbea wa mtaa,unaroho ya kasksi na choyo plus unafik ooooh ,kavaa tyt plus top juu kitovukimemtoka ,na mkorogo wa cheap umedunda jaman jaman yeye kuvaa nguo za heshimana vitenge ni sumu anakuambia mimi siomzee

Men will always remain men tena ni kiongozi no matter unaPHD Or pesa kiasi gani ,tubadilike actlike woman be decent,loyal,use polite language,take care &love ur child nhubby,roho ya upendo yenye woga wa MUUMBA wako,roho ya ukarimu kwa ndugu,makeur house clean to be sweety home not garage,vaa kwa heshima jua tofauti ya nguoya kanisani,kazin.na outing,pika chakula safi na kitamu kwa familia yako.If udone this and ur hubby not proud of u,not value u must have a mental problemsure.mume ataona hata fahari kutoka na wewe,kukudhamin,kukupenda nakukutambulisha kwa yoyote

Jamii yetu ina tatizo kubwa sana sio wanaume si wanawake kila mtu amesahau wajibu wake.Sisi wakristo Mungu ametuagiza wanaume tutunze wake zetu sasa utashangaa wanaume wanakwepa wanalalamika wamesahau mtawala siku zote ndiye huwezesha mahitaji yote ya wale anaowatala.Vivyo hivyo wanawake wameagizwa kuwaheshimu na kuwatii waume zao sasa siku hizi mtu akiwa na pesa kumzidi mumewe basi ni taabu.afu huwa tunasahau kuna mafanikio tunapata sababu Mungu anatumia labda Baraka za Mwenza wako ili wewe ufanikiwe mkiachana tu. Unaanza kushangaa mambo yako hayaendi vizuri unaumwa kazini hapaeleweki kumbe source ni kumwacha mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke anatakiwa amsaidie mwanaume wake kuona na kupata fahari kwa kuwa na mkewe huyo, familia, nyumbani n.k

1.Jua kupendeza badala ya kuchekesha. Mfanye mwanaume wako apende na afurahie kuongozana/kuonekana na wewe bila woga wala aibu. Sio mtu tumbo ni kubwa kuliko kiwiliwili cha chini lakini bado unavaa nguo za kubana na kuchora mpaka wanaokuangalia wanakuonea aibu, mumeo ataona nini? Uso umepambwa kama xmass tree nani aonekane na wewe achekwe?

mwanaume nae ashiriki katika kumpendezesha mkewe, kutokupendeza kwa mke isiwe sababu ya kushindwa kuongozana nae. swala la kuvaa na kufurahia muonekano wa miili ni jukumu la wote. kama mkeo katoka kitambi na kimeshindikana kurudi, accept matokeo tu, sio kuona aibu kuongozana nae. unamuonea nani aibu sasa wakati ndio mkeo huyo?

2.Jitahidi kuwa na kauli nzuri ili ukaribishe watu(including mumeo) badala ya kufukuza. Mwanamke ukiwa na kauli mbovu na kuropoka hovyo mwanaume hatoona fahari kukaribisha wageni nyumbani wavutiwe mdomo,wanuniwe na kuropokewa mpaka watamani kuondoka wala hatoshawishika kuwahi kurudi nyumbani.

sometimes wanaume wanachangia sana wake zao wawe na kauli mbaya. mara nyingi hasira hupelekea kauli mbaya. mwanaume anatoka kazini mapema ila kufika home mpaka sa tano za usiku na unajua kabisa hana hata kibanda cha kuuza vocha. kama mke alikuwa na kauli mbaya tangu awali ilikuwaje ukamuoa? kama amebadilika baada ya ndoa nini sababu ya mabadiliko hayo? hapo utagundua wewe mwanaume kwa namna moja au nyingine unachangia. halafu kwa maisha ya sasahvi wageni wakizidi home nayo ni kero, sometimes kauli mbaya za wanawake zinasaidia kusawazisha kiwango cha wageni.

3.Kuwa msafi. Usafi wa nyumba unamvutia mtu kuwa nyumbani, usafi wa mwili unamvutia mtu kuwa karibu na wewe. Ukishidwa kutofautisha nyumbani na kiwanda cha karatasi kwa hewa nzito/dampo kwa mvurugiko hamu ya kuwepo nyumbani inapungua.
usafi muhimu jamani, ila hata wanaume sio mnavua soksi na kutupa tupa tu hovyo kisa wife yupo atasafisha. muwajibike na nyie.

4.Angalia Watoto wako vizuri.
Kuna watoto bwana hata kama unapenda watoto namna gani huwezi kuwabeba. Utaishia kumuongelesha tu na kumshika mashavu. Usiache mtoto aonekane mchafu mchafu kila wakati.

jukumu la kulea watoto ni la wote kwa nafasi tofauti. kuna wazazi wao wanahisi majukumu yao yanaishia kwenye kumlisha na kumlipia ada ya shule tu. kuna mengi zaidi ya kumfanyia mtoto na hii inahusisha pande zote mbili,

5.Jitahidi kwenye maswala ya UPISHI. Sio lazima uwe mtaalam sana, jifunze kiasi cha kuwafanya watu wafurahie chakula chako. Badala ya mwanaume kurudi ameshiba kila mara, hata akila nje ya nyumbani bado awe na hamu ya kula/kuonja chakula cha mkewe. Na badala ya kwenda kukutana na marafiki zake kwenye nyama choma/supu za mtaani awakaribishe nyumbani kwa chakula.

Mwisho kabisa msisahau UKARIMU. Usiwe mchoyo, usiwe mroho.

tabia ya wanaume kupenda kula mtaani hata haichangiwi na mwanamke, naweza sema ni uchoyo au ubinafsi wao. mwanaume anaona akinunua kuku apeleke nyumbani wakati pale kuna watu zaidi ya tano, hatofaidi. anaona bora apite bar ajichane mwenyewe.hebu fikiria kama mkewe hawezi kuchemsha hizo supu au kuchoma nyama kwa nini asinunue nyingi akale nyumbani? ni uchoyo wao tu. mi nachukia sana mwanaume anaekula kwenye mabar wakati kwake angeweza kukuta msosi. tujitahidi na family planning pia, familia ikiwa kubwa sana kuliko kipato hamuwezi kufurahia msosi hata mama akaange vipi baadae chuzi lazma lijazwe maji ili litoshe.
 
Hahahaaaaaaaa! EXPOSURE!!!!!!!!!!!!! Ipi labda ambayo sina? Mimi mthomi tena nimesoma shule za bei chafu kwa enzi hizo, wazazi wangu alhamdulilah wana PROFESSION zao, ndugu zangu MASHALLAH wameiona dunia na wanajiweza sanaa tu! Na mimi mwenyewe si haba I HAVE DATED SOME HIGHLY SUCCESSFUL MEN! THEY TOOK ME PLACES, Nimefanya kazi MULTINATIONAL COMPANIES na watu wa maana hadi EXPATRIATES!!!!!!!! Nimedhunguka dhunguka dunia kwa ndugu dhangu abroad, nimesoma higher learning institutions. SASA SIJUI EXPOSURE GANI UNAYOSEMEA???????????? LABD NIKO OVER EXPOSED!!!!!!! YOU DONT KNOW ME DUDE!!!!!!!!! DONT TALK OF SOMETHING YOU DONT HAVE A CLUE.

TRUST ME WEALTHY MEN ARE THE WORSTTTTTTTTTTTTTTTTT!!!!!!!! Bora hata wa uswazi kidogo wana utu!
Spirit ya wazungu inakutesa umeishi uzungu mwenzetu huku hapakustahili unajitesa unafaa mapenzi ya mikataba kabisa jambo ambalo kwetu utasomewa dua na sala maake kwetu watakuona una mapepo.But trust me am telling you ughaibuni kwa wazungu huwa wanajutia mila na desturi zao wakijilinganisha na mabara mengine. Huwa wanashangaa mama wa ki afrika kubeba mtoto mgongoni wao hawawezi na siri iliyopo ni upendo wa dhati kati ya mama na mtoto wao hawana. Mtu akipata msiba ni watu wachache sana tena muhimu ndo wanashiriki hata jirani anaweza asijue.Maisha gani ya kuishi hata jina la jirani yako hujui.Infact hao kwetu wana mawili ya kujisifu kuwa wamepiga hatua nayo ni POLITICAL life na ECONOMICALLY basi ila SOCIAL life hamna kitu ustaarabu wetu wanautamani sana. Na ndilo jambo ambalo lara 1 linakutesa u are good Economically but Socially you have nothing to teach us dada angu.
 
Mamy Lizzy umenena la maana cijui sisi wadada/wamama nanikatuloga jamani jaman...
wengi tunajisahau na kuona tupo sawa na wanaume sababu ya technologyna kudai haki sawa cos ya elimu,magari,pesa,biashara n.k but we are real mistakenjaman. Unakuta mama yeye yupo na tv 24hrs,kutwa kushinda salon,macho kaweka juujuu kama precision airways inataka kupaa ,yeye ndo chairman wa umbea wa mtaa,unaroho ya kasksi na choyo plus unafik ooooh ,kavaa tyt plus top juu kitovukimemtoka ,na mkorogo wa cheap umedunda jaman jaman yeye kuvaa nguo za heshimana vitenge ni sumu anakuambia mimi siomzee

Men will always remain men tena ni kiongozi no matter unaPHD Or pesa kiasi gani ,tubadilike actlike woman be decent,loyal,use polite language,take care &love ur child nhubby,roho ya upendo yenye woga wa MUUMBA wako,roho ya ukarimu kwa ndugu,makeur house clean to be sweety home not garage,vaa kwa heshima jua tofauti ya nguoya kanisani,kazin.na outing,pika chakula safi na kitamu kwa familia yako.If udone this and ur hubby not proud of u,not value u must have a mental problemsure.mume ataona hata fahari kutoka na wewe,kukudhamin,kukupenda nakukutambulisha kwa yoyote

..mmmwaaaaaa kwa shavu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, nimekuingiza kwenye rekodi yangu ya wanawake wenye UELEWA,MAARIFA, HEKIMA na KIWANGO CHA JUU CHA USTAARABU..Mungu na akusaidie ukaishi katika utoshelevu wote wa furaha ya kweli ndani ya mahusiano na ndoa..kula big LIKE napenda sana kuona watu kama wewe na dada Lizzy, kumbe bado mpo jamani nalidhani kizazi chenu kilipotea tangu miaka ya 450 B.C ..
 
..mkuu Husninyo kumbuka mtoa mada alianza kwa kusema "Mwanamke anatakiwa amsaidie mwanaume wake kuona na kupata fahari kwa kuwa na mkewe huyo, familia, nyumbani n.k" kwa hiyo kila jambo huanza kwa mwanamke kutoa msaada kwa mwanaume wake na hii ni nzuri zaidi kwani hata kiimani mwanamke hutambulika kama msaidizi. Najua ni jukumu langu kumfanya apendeze lakini lazima anisaidie kufanya hivyo na ataanzaje rejea pointi ya kwanza ya mtoa mada.kila alichokiongea mtoa mada kitazame kwa mtazamo huu kwamba mwanamke na awe msaada katika kuyafanya hayo yatokee. Na ndo ukweli sisi wanaume tunapata au kuona fahari juu ya wenza wetu hasa pale wanaposimama kama wasaidizi na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom