Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Pale lahela km waenda sumbawanga napo pana ndizi km tukuyu hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<TABLE width=350 align=right border=0><TBODY><TR><TD></TD></TR><TR><TD class=formstyle vAlign=top></TD></TR><TR><TD class=top_tabs></TD></TR></TBODY></TABLE>![]()
Hii Kyela mwana wane muchere mwanzo mwisho
Safi sana mkuu,umenikumbusha mbali sana,nyanya pori,matecha,chikanda,masuku,mabungo,mbula,ntalali,makangala,nyimbwa,ndagu(matunda). Kantasila (big g za kifipa). Hali ya hewa safi huku,kibaridi cha hapa na pale. Gharama za maisha ziko chini. Unaweza kuwa na mtaji kidogo na ukatoka kimaisha kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali zinazoweza kukupa kipato halali. Nasikia barabara za Sumbawanga- Mpanda na Sumbawanga-Matai-Kasanga na Kasesya mpakani wakandarasi wameingia kuanza ujenzi wa barabara hizo kiwango cha lami. Barabara ya Sumbawanga-Tunduma mkandarasi anaingia mwezi ujao wa 4. Hakika maboresho ya miundombinu yataleta changamoto kubwa mkoani Rukwa na tunategemea mkoa huo sasa utaruka kimaendeleo.
Namuona kama George Mwakalinga kwa mbaaali. Sijui ni yeye?
Hapa wapi, Iringa, Mbeya au Rukwa?Name of the location in either those three regions please!Madaraja yetu ya ukweli sio yenu ya ya Salender Manyoya;
![]()
Madaraja yetu ya ukweli sio yenu ya ya Salender Manyoya;
![]()
kweli huko maisha ni bwerere,hata hao kina dada wanaonesha wana afya nzuri na wanavutia!yaani mkungu wa ndizi buku!
chikanda
kweli mmeendelea wenzetu hata barabara mmepaka rangi