kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Huwa hakuna mwimbo mzuri kama maneno ya mkosaji.View attachment 1756784
Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula.
Anamuita Paula anaejiona amepata πππ
Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali mpya tena tuchagua aliyekuzidi.
ka Fayma katamu kidogo, nilikula sana ile kitambo kabla ya chui ππ΅.. sijui leo nimtafute nipashe kipolo ππMtalaka hatongozwiππ€£ tukipata hamu tunaenda tena kumla Fayma π
Hii ni kudu au timba kabisa boss?ka Fayma katamu kidogo, nilikula sana ile kitambo kabla ya chui ππ΅.. sijui leo nimtafute nipashe kipolo ππ
Ndo wamemuonyesha sasa kwamba uwe wa Tanga uwe wa Mombasa hilo halimbadilishi kuwa mwanaume yani hao ndo wanaume buana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakwambia yeye mtanga haachwi kizembe
Acha hizo mbona wengi tu wakitanga wanabadili tena wengi wanatoka uislam na kwenda ukristo siku hizi mbaka zenji nako mambo yamebadilikaKumbe hata dini kilibadili Wanawake wa Kitanga tuna msimamo kwenye dini huyu si Mtanga mwenzetu.