kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Huwa hakuna mwimbo mzuri kama maneno ya mkosaji.View attachment 1756784
Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula.
Anamuita Paula anaejiona amepata ๐๐๐
Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali mpya tena tuchagua aliyekuzidi.
Rayvanny ashaongezewa nyota kwenye chama la mabaharia huyu akawe single mama tu.