Faida 20 ya kukimbia/kutembea

Faida 20 ya kukimbia/kutembea

Was this helpful?

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.

1. Mazoezi husaidia kupunguza uzito, tembea lisaa limoja kila siku au kimbia dk 30 kwa siku
2. Ni mazoezi yanayoweza kufanywa na kila mtu
3. Ni mazoezi yasiyohitaji vifaa/hayana gharama
4. Ndiyo njia rahisi kabisa ya kuufanya mwili kuwa mkakamavu, sababu huhusisha kila kiungo cha mwili kufanya kazi
5. Hupunguza dalili za majonzi na wasiwasi, mind refreshment against stroke, pressure etc.
6. Ni mazoezi yenye matokeo ya taratibu
7. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kolesto/lehemu through burning claories
8. Hupunguza na kutibu shinikizo la damu
9. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi za kansa, example progestorene cancer
10. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari, unapokimbia hufunguo vinyweleo vya mwili na husaidi mwili kutoa jasho kwenye kila kioungo
11. Hukufanya ujisikie vizuri, muscle relaxation
12. Husaidia kuimarisha mifupa
13. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na shambulio la moyo
14. Ni mazoezi uwezayo kuyafanya bila kukusababishia ajari au maumivu makubwa
15. Hupunguza mfadhaiko/stress
16. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa moyo
17. Ni mazoezi unayoweza kuyafanya bure bila kulipia chochote
18. Husaidia kuimarisha mishipa
19. Husaidia katika mfumo wa upumuwaji
20. Husaidia kuongeza mzunguko wa damu

Kama afya yako siyo nzuri sana anza kutembea kidogo kidogo labda dakika 15 kwa siku huku ukiongeza dakika 5 kila siku hadi hapo utakapoweza kutembea lisaa limoja mfululizo bila kupumzika. Ili kupunguza uzito, unene, utipwatipwa, mafuta yaliyozidi au kitambi, fanya zoezi la kutembea kwa miguu mwendo kasi kidogo muda wa mwezi mmoja mpaka miwili mfululizo.

Je ni muda gani mzuri wa kufanya mazoezi ya kutembea?, wengi wanapenda asubuhi sana na jioni lakini mimi napenda kufanya mazoezi ya kutembea/kukimbia alfajiri asubuhi saa 12, wakati huu kwa baadhi ya sehemu hakuna watu wengi wala magari, nzuri zaidi pollution ya mazingira inakuwa kidogo. So through breathing unakuwa unaata fresh AIR. Pia hutaweza ku-lose a lot water in the body bcoa humidy is normal

Ni vizuri baada ya kutembea/kukimbia fanya mazoezi ya streching ili kunyoosha viungo vya mwili, kuna njia mabalimbali kama kurukaruka kwa kutumia kamba na zinginezo

Hope this is very helpful
Keep healthy!
 
Ntaanza this week kutembea ndani ya saa nzima.
 
Ungesema yanaongeza nguvu za kiume nakwambia kesho ungewaona wanaume wengi sana viwanjani wanakimbia
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
ndio nguvu za kiume zinaongezeka vzr tuu.maan damu inasambaa mwili mzima mpk kwenye dushe.nakufanya dushe lisimame imara kbsa
TRUE inaongeza STRENGHT, you may take long time before ejaculation, also won't get tired quickly comapred to before
 
Naruka kamba Mara 500 kila jioni, najiona mwepesi
 
TRUE inaongeza STRENGHT, you may take long time before ejaculation, also won't get tired quickly comapred to before

Yes I know, ili kuwapa motivation wanaume ya kufanya mazoezi ungewaambia direct kua yanaongeza nguvu za kiume hilo balaa lake kumbe kwa upande mwingine unawasaidia kupambana na magonjwa ya moyo nk
 
pia mazoezi ya kukimbia yana kufanya uwe active na kuimarisha afya ya akili
 
ndio nguvu za kiume zinaongezeka vzr tuu.maan damu inasambaa mwili mzima mpk kwenye dushe.nakufanya dushe lisimame imara kbsa
....Umemjibu vyema mkuu kwa sababu, kwa hakika, mazoezi haya yanachangia sana katika hilo...
 
Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.

1. Mazoezi husaidia kupunguza uzito, tembea lisaa limoja kila siku au kimbia dk 30 kwa siku
2. Ni mazoezi yanayoweza kufanywa na kila mtu
3. Ni mazoezi yasiyohitaji vifaa/hayana gharama
4. Ndiyo njia rahisi kabisa ya kuufanya mwili kuwa mkakamavu, sababu huhusisha kila kiungo cha mwili kufanya kazi
5. Hupunguza dalili za majonzi na wasiwasi, mind refreshment against stroke, pressure etc.
6. Ni mazoezi yenye matokeo ya taratibu
7. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kolesto/lehemu through burning claories
8. Hupunguza na kutibu shinikizo la damu
9. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi za kansa, example progestorene cancer
10. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari, unapokimbia hufunguo vinyweleo vya mwili na husaidi mwili kutoa jasho kwenye kila kioungo
11. Hukufanya ujisikie vizuri, muscle relaxation
12. Husaidia kuimarisha mifupa
13. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na shambulio la moyo
14. Ni mazoezi uwezayo kuyafanya bila kukusababishia ajari au maumivu makubwa
15. Hupunguza mfadhaiko/stress
16. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa moyo
17. Ni mazoezi unayoweza kuyafanya bure bila kulipia chochote
18. Husaidia kuimarisha mishipa
19. Husaidia katika mfumo wa upumuwaji
20. Husaidia kuongeza mzunguko wa damu

Kama afya yako siyo nzuri sana anza kutembea kidogo kidogo labda dakika 15 kwa siku huku ukiongeza dakika 5 kila siku hadi hapo utakapoweza kutembea lisaa limoja mfululizo bila kupumzika. Ili kupunguza uzito, unene, utipwatipwa, mafuta yaliyozidi au kitambi, fanya zoezi la kutembea kwa miguu mwendo kasi kidogo muda wa mwezi mmoja mpaka miwili mfululizo.

Je ni muda gani mzuri wa kufanya mazoezi ya kutembea?, wengi wanapenda asubuhi sana na jioni lakini mimi napenda kufanya mazoezi ya kutembea/kukimbia alfajiri asubuhi saa 12, wakati huu kwa baadhi ya sehemu hakuna watu wengi wala magari, nzuri zaidi pollution ya mazingira inakuwa kidogo. So through breathing unakuwa unaata fresh AIR. Pia hutaweza ku-lose a lot water in the body bcoa humidy is normal

Ni vizuri baada ya kutembea/kukimbia fanya mazoezi ya streching ili kunyoosha viungo vya mwili, kuna njia mabalimbali kama kurukaruka kwa kutumia kamba na zinginezo

Hope this is very helpful
Keep healthy!
Mimi nishazoea kuonekana mjinga barabarani,yaan nisipokimbia wiki huwa najiona kam naumwa ivii
 
Back
Top Bottom